kidi kudi
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 2,764
- 2,491
Kwa wiki kadhaa nimekua nikiangalia mechi za ligi ya Italy Serie A. Nimekua nikijiuliza mbona katika kila mchezo goli la kwanza likifungwa kuna watu wanaweka mpira kwenye kimfuko na kisha kukipeleka ndani vyumbani/ofisini huko.
Mwenye kujua hili tendo maana yake nini atupe maelezo kwa faida ya wote.
Mwenye kujua hili tendo maana yake nini atupe maelezo kwa faida ya wote.