Sio kweli. Huwa kua mnada, na aihusishi jersey ni mpira tu. Na ni goli la kwanza tu.Hapana sio mpira wa goli la kwanza tu bali mpira uliofunga goli lolote unahifadhiwa na jersey ya aliefunga pia inakuwa signed pia inahifadhiwa kwa lengo la kutumika kama zawadi kwa mashabiki wanaoshinda baada ya kujibu baadhi ya maswali yanoyoulizwa kuhusu ligi ya seria A , Kila goli likifungwa kuna kuwa na Qr code inawekwa pale ukiscan ndio utaona ayo maswali na mshindi ndio uzawadiwa huo mpira ama jersey ya mchezaji aliefunga goli.
TFF leo imewanibu kuwa mna timu yenye viongozi wenye makandokandoMbona hilo dogo tu. Umewahi kuuliza kuhusiana na mikia kuingia uwanja wa Taifa na mbuzi saa 3 usiku kufanya mazoezi?
Shukrani kwa maelezo hayoYaani unafatilia serie A ila hujui chochote kinachoendelea hiyo ligi?
Hiyo ni kama kampeni msimu huu,
Huo mpira huchukuliwa na kufanywa mnada baadae kwaajili ya kuwawezesha vijana.
Wanasema faida ya baadae.
Kwa hsani ya AIKwa wiki kadhaa nimekua nikiangalia mechi za ligi ya Italy Serie A. Nimekua nikijiuliza mbona katika kila mchezo goli la kwanza likifungwa kuna watu wanaweka mpira kwenye kimfuko na kisha kukipeleka ndani vyumbani/ofisini huko. Mwenye kujua hili tendo maana yake nini atupe maelezo kwa faida ya wote.
Fuatilia mpira na mechi ya Fiorentina Vs Juve umeona goli 3 zote mpira umewekwa , Na code inapita pale chini. Scan utaona iyo maelezo kuwa ukijibu maswali unapata mpira na Azam TV kama agents mpira unakufikia kupitia wao ata uwe mkoaniSio kweli. Huwa kua mnada, na aihusishi jersey ni mpira tu. Na ni goli la kwanza tu.
AmazingHapana sio mpira wa goli la kwanza tu bali mpira uliofunga goli lolote unahifadhiwa na jersey ya aliefunga pia inakuwa signed pia inahifadhiwa kwa lengo la kutumika kama zawadi kwa mashabiki wanaoshinda baada ya kujibu baadhi ya maswali yanoyoulizwa kuhusu ligi ya seria A , Kila goli likifungwa kuna kuwa na Qr code inawekwa pale ukiscan ndio utaona ayo maswali na mshindi ndio uzawadiwa huo mpira ama jersey ya mchezaji aliefunga goli.
Huangalii kwa makini, unachukuliwa ule ule. Maana inafahamika. Na wanunuzi huwa wengi wapo kwenye mechi au wanaangalia live.Ni kweli. Mara zote nimeona mpira sana sana. Ila mpira unaowekwa mbona ni kama sio ule ulioingia wavuni? Au huwa siangalii kwa makini?