Kinachofanywa na psptb ni ubabaishaji wa hali ya juu

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
Ni miezi takribani miwili sasa toka ifanyike mitihani ya CPSP, November 12 mpaka november 16. Kwa kawaida matokeo hupishana na yale ya CPA kwa wiki moja, kama tunavyopishana katika kufanya mitihani. Ila cha kushangaza matokeo hawayatoi na hakuna taharifa yoyote juu ya dansi wanazozicheza.

Kinachogomba hapa ni namna wanavyoshindwa kuelewa athari za kuchelewesha matokeo (sijui kama ni makusudi ama laa). Hawatoi matokeo wakati wanajua ili kwenda stage zinazofuatia lazima uone matokeo ili ulipe ufanye usajiri, ulipe ada na kuhudhuria review classess.

NB: kama kuna mtu anaelewa kinachoendelea huko basi atujuze, kabla ya deadline ya kulipa ada zao hazijafika.
 
Kwa taasisi kama hiyo kukaa kimya bila kutoa taarifa kwa wadau haina maslahi kabisa..
Ila nimejaribu kumpigia simu mmoja wa wahusika akaniambia tokeo litawekwa hadharani mwisho wa mwezi huu.

So, kama vipi unaweza kwenda pale bodi kuulizia pia.
 
Nipo mbali mkuu, vipi akukupa sababu zozote za kufanya wanayoyafanya?
 
hakunipa ila waweza wasiliana naye kwa no: 0715 774,491.
 
Poleni,haya matatizo ya taasisi tena za wasomo kufanya mambo kienyeji sijui zitakwisha lini?
 
Ni miezi takribani miwili sasa toka ifanyike mitihani ya CPSP, November 12 mpaka november 16. Kwa kawaida matokeo hupishana na yale ya CPA kwa wiki moja, kama tunavyopishana katika kufanya mitihani. Ila cha kushangaza matokeo hawayatoi na hakuna taharifa yoyote juu ya dansi wanazozicheza.

Kinachogomba hapa ni namna wanavyoshindwa kuelewa athari za kuchelewesha matokeo (sijui kama ni makusudi ama laa). Hawatoi matokeo wakati wanajua ili kwenda stage zinazofuatia lazima uone matokeo ili ulipe ufanye usajiri, ulipe ada na kuhudhuria review classess.

NB: kama kuna mtu anaelewa kinachoendelea huko basi atujuze, kabla ya deadline ya kulipa ada zao hazijafika.

yaani hatari mi kila siku nachungulia website yao ila,naona hola..,itabidi sasa nikipata time niende,mwenyewe tu pale gpsa
 
Duu!!!!! Pia mimi nateseka sana nafsi wakuu,nlitaka kuanzisha uzi bahati nzur nmeukuta! Mda
mwingi najitahid kujisahaulisha bt siwez,mara nmesikia wanabadilisha uongoz!!!!!!!!, kwel wanachelewesha malengo ya watu!!!!!!!!!!!!
 
Baraza au board ya PSPTB ambayo ndiyo chombo kisheria cha kuidhinisha matokeo mda wake umekwisha hivyo walikuwa wanaangalia uwezekano wa kuwaomba waliomaliza muda wao kufanya hivyo lakini imeonekana haileti mshiko wa kisheria hivyo wanaisikilizia wizara husika ya fedha kuteua board mpya ili iweze kuidhinisha matokeo hayo. lakini yote kwa yote huu ni uzembe na wala siyo changamoto kama mlivyozoea kusema kwani inagharimu maisha ya watu. hata hivyo nakualika kwenye review yangu centre ya mbeya kwa level inayofuata.
 
level inayofuata bila matokeo mkuu?
 
Duu!!!!! Pia mimi nateseka sana nafsi wakuu,nlitaka kuanzisha uzi bahati nzur nmeukuta! Mda
mwingi najitahid kujisahaulisha bt siwez,mara nmesikia wanabadilisha uongoz!!!!!!!!, kwel wanachelewesha malengo ya watu!!!!!!!!!!!!

mkuu hivi hiz tetesi kwamba mitihani ya May haipo zina ukweli wowote?
 
Nahisi kuna mwelekeo wa board kufutwa, maana kimya hiki si cha kawaida
 
Wadau nategemea kuchukua form kwa ajili ya level 4 may..naomba anaejua kituo chenye walimu wazur dar kwa review classes anijuze nianza hapo
 
Mkuu ni bora ukajisomea mwenyewe tu, hizo review uzushi tu...
 
Dah nashukuru kwa ushauri, ila ni muda mrefu sijaliona darasa mkuu, hivi vituo huwa hawatoa touch areas ambazo ni derective kwel? Because to read the whole publications and notes needs a lot of time na maisha na kazi zinabana kwel ndo mana nataka kituo kiniweka busy kidigo niwe serious na ku tune mind ki shule zaid. Pia kufanya discusions na kushare ideas and knwoleldge na wadau mbali mbali.
 
Back
Top Bottom