tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Ni miezi takribani miwili sasa toka ifanyike mitihani ya CPSP, November 12 mpaka november 16. Kwa kawaida matokeo hupishana na yale ya CPA kwa wiki moja, kama tunavyopishana katika kufanya mitihani. Ila cha kushangaza matokeo hawayatoi na hakuna taharifa yoyote juu ya dansi wanazozicheza.
Kinachogomba hapa ni namna wanavyoshindwa kuelewa athari za kuchelewesha matokeo (sijui kama ni makusudi ama laa). Hawatoi matokeo wakati wanajua ili kwenda stage zinazofuatia lazima uone matokeo ili ulipe ufanye usajiri, ulipe ada na kuhudhuria review classess.
NB: kama kuna mtu anaelewa kinachoendelea huko basi atujuze, kabla ya deadline ya kulipa ada zao hazijafika.