Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Lini Simba alifungwa 7 mkuu?Mu Ethiopia ni mbovu kama Simba tu.. Wote wamekula 7.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lini Simba alifungwa 7 mkuu?Mu Ethiopia ni mbovu kama Simba tu.. Wote wamekula 7.
Na hao Waethiopia wamefungwa lini 7? Tofauti na mechi ya jana ambayo walifungwa 6 kuna game nyingine waliwahi kukutana?Lini Simba alifungwa 7 mkuu?
Tuliwafunga 51mba goli tano..!!Wakati huo mmecheza na timu ya aina gani?
Yaani Ethiopia nayo kuna timu ya mpira kweli?
Mngewafunga As Vita Club ama Petro Luanda hapo ndipo mngesema mmefunga timu yenye uhai.