Yimakatso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 7,060 Reaction score 9,468 Sep 22, 2024 #21 DATAZ said: Mu Ethiopia ni mbovu kama Simba tu.. Wote wamekula 7. Click to expand... Lini Simba alifungwa 7 mkuu?
DATAZ said: Mu Ethiopia ni mbovu kama Simba tu.. Wote wamekula 7. Click to expand... Lini Simba alifungwa 7 mkuu?
Yimakatso JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 7,060 Reaction score 9,468 Sep 22, 2024 #22 Wimakatso said: Lini Simba alifungwa 7 mkuu? Click to expand... Na hao Waethiopia wamefungwa lini 7? Tofauti na mechi ya jana ambayo walifungwa 6 kuna game nyingine waliwahi kukutana?
Wimakatso said: Lini Simba alifungwa 7 mkuu? Click to expand... Na hao Waethiopia wamefungwa lini 7? Tofauti na mechi ya jana ambayo walifungwa 6 kuna game nyingine waliwahi kukutana?
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Sep 22, 2024 #23 Wimakatso said: Wakati huo mmecheza na timu ya aina gani? Yaani Ethiopia nayo kuna timu ya mpira kweli? Mngewafunga As Vita Club ama Petro Luanda hapo ndipo mngesema mmefunga timu yenye uhai. Click to expand... Tuliwafunga 51mba goli tano..!!
Wimakatso said: Wakati huo mmecheza na timu ya aina gani? Yaani Ethiopia nayo kuna timu ya mpira kweli? Mngewafunga As Vita Club ama Petro Luanda hapo ndipo mngesema mmefunga timu yenye uhai. Click to expand... Tuliwafunga 51mba goli tano..!!