Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Maneno ka haya hawezi kuongea binadamu wa kawaida, labda mbwa tu maana mbwa anabweka tu bila kujali anambwekea naniMikia egesha kalio mdungwe sindano..Morrison hana mkataba na mikia ili uwe mkataba lazima pande mbili na mashahidi wasign ..Jana nimemsikia Magori anadai Yanga wamepata wapi huo mkataba..mikataba yote ya wachezaji inaonekana kwenye TMS...hata Mwamedi hana mkataba na mikia mnapigwa
Lakini ana leseni ya TFF kuichezea Simba πππ...Morrison hana mkataba na mikia ili uwe mkataba lazima pande mbili na mashahidi wasign ....
Hahahaha tutamchezesha KahataNa mlivyo na kibri cha tff kesho pia mtamchezesha