Darlin
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 4,796
- 10,646
Anamaanisha tuanze kutembea uchi tu kwani shida nini..[emoji23][emoji23]
Ngono inafanywa iwe yakuvutia zaidi kwasababu tunavaa nguo!.. sijui msamiati nyege anauonaje huyu ndugu..[emoji28]
Aah kwa kwel ndo naona saiv dunia imefika ukingon
Ila amna noma mpka izo karne zipite viwanda vya nguo havtakuepo tutakua tuko eden garden