Kinachoifanya ngono ionekane dili ni mavazi, lakini ukweli ngono yenyewe siyo ishu kiviiile

Anamaanisha tuanze kutembea uchi tu kwani shida nini..[emoji23][emoji23]
Ngono inafanywa iwe yakuvutia zaidi kwasababu tunavaa nguo!.. sijui msamiati nyege anauonaje huyu ndugu..[emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah “msamiati nyege”
 
You got a point son!

Tofauti ya binadamu na viumbe wengine imeanzia kwenye mavazi, ukirejea bustanini Edeni utaona hapo kabla walikuwa uchi... ila akili zilipowarudi (utashi) wakaona haya na kujisitiri.

Na hata hizo jamii ulizotaja ambao kwao ngono si lolote, na kwamba kila mgeni hutunukiwa... mavazi yao ni ushahidi tosha.

Anzia hao makahaba, mavazi yao ni nusu uchi uchi... na hata zile jamii pia hujifunga funga tu kidogo na sehemu kubwa iko wazi.

Ngono hupewa thamani na mavazi tu.
 
Ujumbe wako umeshiba
 
Chaiii
 

mleta mada una mapepo, Njoo uombewe kwa Jina la Yesu, Jina lipitalo majina yote!
 
Weeee acha masihara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…