Kinachoigharimu Simba ni kupoteza focus katika nyakati muhimu

bado huwa hamtaki Simba iachane na kina Shabalala na Kapombe...weakness kubwa kwa Simba ipo kupitia beki zake za kushoto na kulia. Shabalala na Kapombe wameshazeeka sasa hawawezi kucheza katika hali za ushindani wa kiwango cha juu. Iangalie Simba inavyotaabika inapokutana na timu yenye mawinga wazuri wenye kasi.

Shabalala ni mbovu kupiga crosses, mbovu kutoa pasi na mara nyingi haonekani wakati timu inaposhambulia na hata kushambuliwa pia. Leo alikuwa anasababisha kina Che malone na baadae Chamouh watoke katika nafasi zao waje kumkabia yeye nafasi yake, kitendo ambacho ni hatari sana.

Kapombe ndio mchezaji bora wa simba hadi sasa.

Inshort kapombe ndio mchezaji Bora wamsimu huu ndani ya Simba.

Otherwise weweHuangalii Mpira au Hujui Mpira.

AU UNAANGALIA MPIRA HUKU UNALEWA MAPOMBE AU KICHWANI DISHI.
 
Simba imefanya usajili mzuri sana msimu huu na imepambana sana katika mashindano yote ambayo imeshiriki mpaka sasa.

Mechi zote ambazo Simba imepoteza msimu huu au kutoka sare ni kwa sababu ya makosa ambayo chanzo chake kikuu ni kupoteza focus au umakini. Hii inaonyesha timu ni imara sana ila inahitaji kuliangalia hilo maana kila siku linaigharimu timu.

Mechi na Yanga, kupoteza focus kuliifanya ipoteze mechi ambayo ingeweza kabisa kuisha sare. Mechi na Coastal, Kengold, kule CAF mechi ya kwanza dhidi ya Costantine wote mnajua nini kilitokea katika mechi hizi, kupoteza umakini.

Nitagusia matukio matatu ya nje ya uwanja yaliyotokea hivi karibuni ambayo kwa mtazamo wangu nilijua tu yanaenda kuigharimu Simba kwa njia moja ama nyingine. Matukio yote haya naweza kuyaingiza katika tatizo kuu la kupoteza umakini wa nini timu inahitaji na uzito wa jambo lililo mbele.

Soma Pia: FT | Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

1. Kauli ya Ahmed Ally kuwaita Azam inzi wa chooni. Kwa nini umpe mpinzani hasira ya kupambana dhidi yako? Hii kauli ilinishangaza sana kutolewa kipindi hiki. Focus!

2. Video ya wachezaji wa Simba wakiongozwa na captain Zimbwe kuingia mazoezini jana huku wanacheza muziki. Hakukuwa na umuhimu wa kufanya kitendo hadharani kipindi hiki. Kufanya kitendo kile kuelekea mechi ngumu kama ya leo kinaleta picha ya kwamba wachezaji wameridhika, kwamba wamemaliza na inaonyesha dharau kwa mpinzani wako. Hiki ni kipindi cha kukaa kimya na kumkimbiza mwizi kimya kimya. Focus!

3. Kitendo cha kuruhusu wachezaji waende kwenye harusi ya Aziz Ki. Nilimuona Chamou kwenye harusi ya Aziz Ki, sina uhakika wachezaji gani wengine walikuwepo. Ni jambo la kushangaza kuona Chamou alikosa mechi ya Namungo kisa harusi ya Aziz Ki. Ile mechi, Che Malone angeumia kama alivyoumia leo, Simba haikuwa na mbadala wake kwenye benchi. Hili jambo lilinifikirisha sana, nikajiuliza maswali mengi. Yaani mpinzani wako kaamua kufanya upuuzi katikati ya msimu na wewe unajiunga katika upuuzi wake? Nafikiri kuna hali ya kutotambua uzito wa upinzani wa Yanga wa ndani na nje ya uwanja katika mapambano haya ya ubingwa.

Pamoja na kwamba msimu huu Simba inajenga timu ila ikikosa ubingwa ijilaumu tu yenyewe. Yanga hapo kati walivurugana sana. Ilihitaji tu kukeep focus ndani na nje ya uwanja baasi.

Nafasi ya Simba kuchukua ubingwa bado ipo ingawa kwa makosa haya imekuwa ngumu zaidi. Kilichobaki ni kuhakikisha inashinda mechi zote zilizobaki ikiwemo derby.
Kibu De ni kama anafunga macho pale anapopiga mpira golini i.e. Mashuti yake hayana macho.

Kwa upigaji huo uwezekano wa yeye kufunga ni 1: 1000

Naamini kwa msimu huu hatafunga goli lolote ndani ya nbc

Ikiwapendeza uongozi umuuze kuliko kutujazia nafasi
 
Mkuu umeongea vilevile kama ambavyo nimetoka kuongea na wanangu mtaani.

Ni ni ukweli usiopingika kuwa weakness ya Simba ipo kwenye kilele cha furaha ya kuishika mechi.

Simba akiwa anaongoza ndio moment ambayo unaweza kushuhudia makosa mengi kuliko kipindi ambacho ametanguliwa na anasaka bao la kusawazisha.

Hii kitu imetugharimu sana na tukiiruhusu ikue basi itaenda kujijenga na kufanya kuwa sehemu ya utamaduni wetu.

Niishie hapa maana mengi niliyotaka kuyasema zaidi umeyaelezea.
Mkifika 56% ya ujenzi wa timu, hayo makosa yataondoka. Nakukumbusha bado mpo 40%
 
Simba imefanya usajili mzuri sana msimu huu na imepambana sana katika mashindano yote ambayo imeshiriki mpaka sasa.

Mechi zote ambazo Simba imepoteza msimu huu au kutoka sare ni kwa sababu ya makosa ambayo chanzo chake kikuu ni kupoteza focus au umakini. Hii inaonyesha timu ni imara sana ila inahitaji kuliangalia hilo maana kila siku linaigharimu timu.

Mechi na Yanga, kupoteza focus kuliifanya ipoteze mechi ambayo ingeweza kabisa kuisha sare. Mechi na Coastal, Kengold, kule CAF mechi ya kwanza dhidi ya Costantine wote mnajua nini kilitokea katika mechi hizi, kupoteza umakini.

Nitagusia matukio matatu ya nje ya uwanja yaliyotokea hivi karibuni ambayo kwa mtazamo wangu nilijua tu yanaenda kuigharimu Simba kwa njia moja ama nyingine. Matukio yote haya naweza kuyaingiza katika tatizo kuu la kupoteza umakini wa nini timu inahitaji na uzito wa jambo lililo mbele.

Soma Pia: FT | Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

1. Kauli ya Ahmed Ally kuwaita Azam inzi wa chooni. Kwa nini umpe mpinzani hasira ya kupambana dhidi yako? Hii kauli ilinishangaza sana kutolewa kipindi hiki. Focus!

2. Video ya wachezaji wa Simba wakiongozwa na captain Zimbwe kuingia mazoezini jana huku wanacheza muziki. Hakukuwa na umuhimu wa kufanya kitendo hadharani kipindi hiki. Kufanya kitendo kile kuelekea mechi ngumu kama ya leo kinaleta picha ya kwamba wachezaji wameridhika, kwamba wamemaliza na inaonyesha dharau kwa mpinzani wako. Hiki ni kipindi cha kukaa kimya na kumkimbiza mwizi kimya kimya. Focus!

3. Kitendo cha kuruhusu wachezaji waende kwenye harusi ya Aziz Ki. Nilimuona Chamou kwenye harusi ya Aziz Ki, sina uhakika wachezaji gani wengine walikuwepo. Ni jambo la kushangaza kuona Chamou alikosa mechi ya Namungo kisa harusi ya Aziz Ki. Ile mechi, Che Malone angeumia kama alivyoumia leo, Simba haikuwa na mbadala wake kwenye benchi. Hili jambo lilinifikirisha sana, nikajiuliza maswali mengi. Yaani mpinzani wako kaamua kufanya upuuzi katikati ya msimu na wewe unajiunga katika upuuzi wake? Nafikiri kuna hali ya kutotambua uzito wa upinzani wa Yanga wa ndani na nje ya uwanja katika mapambano haya ya ubingwa.

Pamoja na kwamba msimu huu Simba inajenga timu ila ikikosa ubingwa ijilaumu tu yenyewe. Yanga hapo kati walivurugana sana. Ilihitaji tu kukeep focus ndani na nje ya uwanja baasi.

Nafasi ya Simba kuchukua ubingwa bado ipo ingawa kwa makosa haya imekuwa ngumu zaidi. Kilichobaki ni kuhakikisha inashinda mechi zote zilizobaki ikiwemo derby.
Ngoja nikuulize swali Moja tu,,hivi hao wakina charabou na ahou walipoenda kwenye harusi ya Aziz ki walijiondokea tu bila ruhusa ya viongozi?
 
Hizo back passes ndio mchawi wa Simba
Wewe ndio umesema ukweli. Tumewakumbusha hapa mara nyingi sana Simba akishaongoza tu hata kwa tofauti ya goli moja basi wanaridhika wanaanza upuuzi wao wa back pass badala ya kutafuta goli lingine wauiue mechi. Mechi ya jana na Azam baada ya kupata tu goli la pili wachezaji wote waliridhika wakaanza kucheza na majukwaa mpaka Fadlu naye akawa anacheza na jukwaa badala ya kuwahimiza wachezaji wake watafute goli la tatu. Tena ilikuwa rahisi sana maana AZAM walishachanganyikiwa kabisa wameeelekea kibla wanasubiri kuchinjwa.
 
Simba imefanya usajili mzuri sana msimu huu na imepambana sana katika mashindano yote ambayo imeshiriki mpaka sasa.

Mechi zote ambazo Simba imepoteza msimu huu au kutoka sare ni kwa sababu ya makosa ambayo chanzo chake kikuu ni kupoteza focus au umakini. Hii inaonyesha timu ni imara sana ila inahitaji kuliangalia hilo maana kila siku linaigharimu timu.

Mechi na Yanga, kupoteza focus kuliifanya ipoteze mechi ambayo ingeweza kabisa kuisha sare. Mechi na Coastal, Kengold, kule CAF mechi ya kwanza dhidi ya Costantine wote mnajua nini kilitokea katika mechi hizi, kupoteza umakini.

Nitagusia matukio matatu ya nje ya uwanja yaliyotokea hivi karibuni ambayo kwa mtazamo wangu nilijua tu yanaenda kuigharimu Simba kwa njia moja ama nyingine. Matukio yote haya naweza kuyaingiza katika tatizo kuu la kupoteza umakini wa nini timu inahitaji na uzito wa jambo lililo mbele.

Soma Pia: FT | Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

1. Kauli ya Ahmed Ally kuwaita Azam inzi wa chooni. Kwa nini umpe mpinzani hasira ya kupambana dhidi yako? Hii kauli ilinishangaza sana kutolewa kipindi hiki. Focus!

2. Video ya wachezaji wa Simba wakiongozwa na captain Zimbwe kuingia mazoezini jana huku wanacheza muziki. Hakukuwa na umuhimu wa kufanya kitendo hadharani kipindi hiki. Kufanya kitendo kile kuelekea mechi ngumu kama ya leo kinaleta picha ya kwamba wachezaji wameridhika, kwamba wamemaliza na inaonyesha dharau kwa mpinzani wako. Hiki ni kipindi cha kukaa kimya na kumkimbiza mwizi kimya kimya. Focus!

3. Kitendo cha kuruhusu wachezaji waende kwenye harusi ya Aziz Ki. Nilimuona Chamou kwenye harusi ya Aziz Ki, sina uhakika wachezaji gani wengine walikuwepo. Ni jambo la kushangaza kuona Chamou alikosa mechi ya Namungo kisa harusi ya Aziz Ki. Ile mechi, Che Malone angeumia kama alivyoumia leo, Simba haikuwa na mbadala wake kwenye benchi. Hili jambo lilinifikirisha sana, nikajiuliza maswali mengi. Yaani mpinzani wako kaamua kufanya upuuzi katikati ya msimu na wewe unajiunga katika upuuzi wake? Nafikiri kuna hali ya kutotambua uzito wa upinzani wa Yanga wa ndani na nje ya uwanja katika mapambano haya ya ubingwa.

Pamoja na kwamba msimu huu Simba inajenga timu ila ikikosa ubingwa ijilaumu tu yenyewe. Yanga hapo kati walivurugana sana. Ilihitaji tu kukeep focus ndani na nje ya uwanja baasi.

Nafasi ya Simba kuchukua ubingwa bado ipo ingawa kwa makosa haya imekuwa ngumu zaidi. Kilichobaki ni kuhakikisha inashinda mechi zote zilizobaki ikiwemo derby.
Baadhi ya Marefa wameisaidia Simba wachezaji wake kubweteka hii hupelekea simba wapoteze umakini kutokana na udanganyifu wa wachezaji mfano jana wakati mchezaji wa Azam anaokoa golini mchezaji wa Simba alimwambia refa ameushika mpira kwa refa ambaye hayuko makini yangeliwezesha penati
 
Simba imefanya usajili mzuri sana msimu huu na imepambana sana katika mashindano yote ambayo imeshiriki mpaka sasa.

Mechi zote ambazo Simba imepoteza msimu huu au kutoka sare ni kwa sababu ya makosa ambayo chanzo chake kikuu ni kupoteza focus au umakini. Hii inaonyesha timu ni imara sana ila inahitaji kuliangalia hilo maana kila siku linaigharimu timu.

Mechi na Yanga, kupoteza focus kuliifanya ipoteze mechi ambayo ingeweza kabisa kuisha sare. Mechi na Coastal, Kengold, kule CAF mechi ya kwanza dhidi ya Costantine wote mnajua nini kilitokea katika mechi hizi, kupoteza umakini.

Nitagusia matukio matatu ya nje ya uwanja yaliyotokea hivi karibuni ambayo kwa mtazamo wangu nilijua tu yanaenda kuigharimu Simba kwa njia moja ama nyingine. Matukio yote haya naweza kuyaingiza katika tatizo kuu la kupoteza umakini wa nini timu inahitaji na uzito wa jambo lililo mbele.

Soma Pia: FT | Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

1. Kauli ya Ahmed Ally kuwaita Azam inzi wa chooni. Kwa nini umpe mpinzani hasira ya kupambana dhidi yako? Hii kauli ilinishangaza sana kutolewa kipindi hiki. Focus!

2. Video ya wachezaji wa Simba wakiongozwa na captain Zimbwe kuingia mazoezini jana huku wanacheza muziki. Hakukuwa na umuhimu wa kufanya kitendo hadharani kipindi hiki. Kufanya kitendo kile kuelekea mechi ngumu kama ya leo kinaleta picha ya kwamba wachezaji wameridhika, kwamba wamemaliza na inaonyesha dharau kwa mpinzani wako. Hiki ni kipindi cha kukaa kimya na kumkimbiza mwizi kimya kimya. Focus!

3. Kitendo cha kuruhusu wachezaji waende kwenye harusi ya Aziz Ki. Nilimuona Chamou kwenye harusi ya Aziz Ki, sina uhakika wachezaji gani wengine walikuwepo. Ni jambo la kushangaza kuona Chamou alikosa mechi ya Namungo kisa harusi ya Aziz Ki. Ile mechi, Che Malone angeumia kama alivyoumia leo, Simba haikuwa na mbadala wake kwenye benchi. Hili jambo lilinifikirisha sana, nikajiuliza maswali mengi. Yaani mpinzani wako kaamua kufanya upuuzi katikati ya msimu na wewe unajiunga katika upuuzi wake? Nafikiri kuna hali ya kutotambua uzito wa upinzani wa Yanga wa ndani na nje ya uwanja katika mapambano haya ya ubingwa.

Pamoja na kwamba msimu huu Simba inajenga timu ila ikikosa ubingwa ijilaumu tu yenyewe. Yanga hapo kati walivurugana sana. Ilihitaji tu kukeep focus ndani na nje ya uwanja baasi.

Nafasi ya Simba kuchukua ubingwa bado ipo ingawa kwa makosa haya imekuwa ngumu zaidi. Kilichobaki ni kuhakikisha inashinda mechi zote zilizobaki ikiwemo derby.
Huna hoja ya maana,ungesema simba wanaridhika mapema uwanjani wakishapata matokeo kiduchu ya awali hapo sawa!
 
Huwezi kuwa bingwa beki akiwa shabalala miaka 39

Huwezi kuwa bingwa kiungo mkabaji akiwa Ngoma miaka 41 na sio mzuri kwenye kukaba

Huwezi kuwa bingwa striker wako akiwa Ateba, ana kg 117, tuheshimu football ⚽

Huwezi kuwa bingwa beki akiwa Che Malon, akitiwa pressure ya Max, Aziz ki, Mzize na Pacome laZima ataachoa goli 6

Huwezi kuwa bingwa namba 10 akiwa Ahoua, nzito mno, kufunga Kwa penalty, watu wana Pacome, Aziz ki, max na Chama

Huwezi kuwa bingwa Kwa kutegemea penalties na red card ♦️ zitokee

Kuhusu Valentine Nouma kuhudhiria harusi ya Aziz ki
Hawa wote wanatoka Burkina Faso, kwenda kum support mwenzake kwenye japo kubwa kama ndoa sio vibaya
Tutamsajili mumeo na mashemejio wote ili tupate kikosi sahihi bibie!
 
Huwezi kuwa bingwa beki akiwa shabalala miaka 39

Huwezi kuwa bingwa kiungo mkabaji akiwa Ngoma miaka 41 na sio mzuri kwenye kukaba

Huwezi kuwa bingwa striker wako akiwa Ateba, ana kg 117, tuheshimu football ⚽

Huwezi kuwa bingwa beki akiwa Che Malon, akitiwa pressure ya Max, Aziz ki, Mzize na Pacome laZima ataachoa goli 6

Huwezi kuwa bingwa namba 10 akiwa Ahoua, nzito mno, kufunga Kwa penalty, watu wana Pacome, Aziz ki, max na Chama

Huwezi kuwa bingwa Kwa kutegemea penalties na red card ♦️ zitokee

Kuhusu Valentine Nouma kuhudhiria harusi ya Aziz ki
Hawa wote wanatoka Burkina Faso, kwenda kum support mwenzake kwenye japo kubwa kama ndoa sio vibaya
Hamkosekanagi
 
We unajionyesha jinsi Gani unaichukulia mpira kama uadui
Kwa mchezaji mpira ni kazi tu
Ipo siku Nouma anaweza kucheza na Aziz ki iwe Simba , Yanga au popote na wanatoka Taifa Moja,
Mtu laZima uhudhurie jambo la mwenzako kumpa support
Kwaiyo wewe ukifanya kazi NMB hutao
Msalimia mfanyakazi wa CRDB
Siku hizi watu wanahama kutoka kuwa mashabiki hadi kuwa wapenzi wa timu. Ndio maana yote haya yanatokea. Mindset imeshabadilika, wanaamini UADUI
 
Huwezi kuwa bingwa beki akiwa shabalala miaka 39

Huwezi kuwa bingwa kiungo mkabaji akiwa Ngoma miaka 41 na sio mzuri kwenye kukaba

Huwezi kuwa bingwa striker wako akiwa Ateba, ana kg 117, tuheshimu football ⚽

Huwezi kuwa bingwa beki akiwa Che Malon, akitiwa pressure ya Max, Aziz ki, Mzize na Pacome laZima ataachoa goli 6

Huwezi kuwa bingwa namba 10 akiwa Ahoua, nzito mno, kufunga Kwa penalty, watu wana Pacome, Aziz ki, max na Chama

Huwezi kuwa bingwa Kwa kutegemea penalties na red card ♦️ zitokee

Kuhusu Valentine Nouma kuhudhiria harusi ya Aziz ki
Hawa wote wanatoka Burkina Faso, kwenda kum support mwenzake kwenye japo kubwa kama ndoa sio vibaya
Uko sahihi sana Mkuu.
 
YANGA wakifungwa au wakitoa droo huoni wakilia lia kama watoto ktk mitandao, badala yake wapongezana na wanajipanga upya...
Shida 5imba mnacheza huku mnaiwaza Yanga, siwatanii tarehe 8 mnakojolewa tena kwa ×5 mfululizo
We jamaa sijui unaongea kitu gani? Wale Mashabiki wanaoongeaga na vyombo vya habari na kujikuta wanapigwa na Mashabiki wenzao (hasa baada ya timu yao kufanya vibaya) huwa ni wa timu gani?

Sisi huku tuna Uhuru wa kuongea, nyie huko mnapigana mtu akitaka kusema ukweli.
 
Vp Azam Na Simba Leo Sio Ndugu? Hizi Ndo Mechi Za Kuangalia Hakuna Maigizo Wala Maagizo.

Sio Mambo Ya Beki Anampisha Mshambuliaji
Kuna Timu Nbc Washambuliaji Wake Wamefunga Kwenye Timu Washirika Tu.
 
Simba imefanya usajili mzuri sana msimu huu na imepambana sana katika mashindano yote ambayo imeshiriki mpaka sasa.

Mechi zote ambazo Simba imepoteza msimu huu au kutoka sare ni kwa sababu ya makosa ambayo chanzo chake kikuu ni kupoteza focus au umakini. Hii inaonyesha timu ni imara sana ila inahitaji kuliangalia hilo maana kila siku linaigharimu timu.

Mechi na Yanga, kupoteza focus kuliifanya ipoteze mechi ambayo ingeweza kabisa kuisha sare. Mechi na Coastal, Kengold, kule CAF mechi ya kwanza dhidi ya Costantine wote mnajua nini kilitokea katika mechi hizi, kupoteza umakini.

Nitagusia matukio matatu ya nje ya uwanja yaliyotokea hivi karibuni ambayo kwa mtazamo wangu nilijua tu yanaenda kuigharimu Simba kwa njia moja ama nyingine. Matukio yote haya naweza kuyaingiza katika tatizo kuu la kupoteza umakini wa nini timu inahitaji na uzito wa jambo lililo mbele.

Soma Pia: FT | Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

1. Kauli ya Ahmed Ally kuwaita Azam inzi wa chooni. Kwa nini umpe mpinzani hasira ya kupambana dhidi yako? Hii kauli ilinishangaza sana kutolewa kipindi hiki. Focus!

2. Video ya wachezaji wa Simba wakiongozwa na captain Zimbwe kuingia mazoezini jana huku wanacheza muziki. Hakukuwa na umuhimu wa kufanya kitendo hadharani kipindi hiki. Kufanya kitendo kile kuelekea mechi ngumu kama ya leo kinaleta picha ya kwamba wachezaji wameridhika, kwamba wamemaliza na inaonyesha dharau kwa mpinzani wako. Hiki ni kipindi cha kukaa kimya na kumkimbiza mwizi kimya kimya. Focus!

3. Kitendo cha kuruhusu wachezaji waende kwenye harusi ya Aziz Ki. Nilimuona Chamou kwenye harusi ya Aziz Ki, sina uhakika wachezaji gani wengine walikuwepo. Ni jambo la kushangaza kuona Chamou alikosa mechi ya Namungo kisa harusi ya Aziz Ki. Ile mechi, Che Malone angeumia kama alivyoumia leo, Simba haikuwa na mbadala wake kwenye benchi. Hili jambo lilinifikirisha sana, nikajiuliza maswali mengi. Yaani mpinzani wako kaamua kufanya upuuzi katikati ya msimu na wewe unajiunga katika upuuzi wake? Nafikiri kuna hali ya kutotambua uzito wa upinzani wa Yanga wa ndani na nje ya uwanja katika mapambano haya ya ubingwa.

Pamoja na kwamba msimu huu Simba inajenga timu ila ikikosa ubingwa ijilaumu tu yenyewe. Yanga hapo kati walivurugana sana. Ilihitaji tu kukeep focus ndani na nje ya uwanja baasi.

Nafasi ya Simba kuchukua ubingwa bado ipo ingawa kwa makosa haya imekuwa ngumu zaidi. Kilichobaki ni kuhakikisha inashinda mechi zote zilizobaki ikiwemo derby.
Kati ya point zako 3 ni point No.1 pekee ndo iliyoleta matokeo ya Jana. Ni ujinga kumtetea Ahmed Ally, Ally Kamwe au Msemaji yeyote anapoongea kama mlevi. Halafu amepewa nafasi ya Kuomba radhi Kwa wahusika anapiga simu Kwa Zaka kumuuliza kama ameudhika? Naye akamjibu Kwa akili, "Mimi ni Nzi mkubwa tukutane uwanjani". Asivyo na akili akacheeeka kama mazuri vile.
 
Simba imefanya usajili mzuri sana msimu huu na imepambana sana katika mashindano yote ambayo imeshiriki mpaka sasa.

Mechi zote ambazo Simba imepoteza msimu huu au kutoka sare ni kwa sababu ya makosa ambayo chanzo chake kikuu ni kupoteza focus au umakini. Hii inaonyesha timu ni imara sana ila inahitaji kuliangalia hilo maana kila siku linaigharimu timu.

Mechi na Yanga, kupoteza focus kuliifanya ipoteze mechi ambayo ingeweza kabisa kuisha sare. Mechi na Coastal, Kengold, kule CAF mechi ya kwanza dhidi ya Costantine wote mnajua nini kilitokea katika mechi hizi, kupoteza umakini.

Nitagusia matukio matatu ya nje ya uwanja yaliyotokea hivi karibuni ambayo kwa mtazamo wangu nilijua tu yanaenda kuigharimu Simba kwa njia moja ama nyingine. Matukio yote haya naweza kuyaingiza katika tatizo kuu la kupoteza umakini wa nini timu inahitaji na uzito wa jambo lililo mbele.

Soma Pia: FT | Simba SC 2-2 Azam FC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa | 24 Februari, 2025

1. Kauli ya Ahmed Ally kuwaita Azam inzi wa chooni. Kwa nini umpe mpinzani hasira ya kupambana dhidi yako? Hii kauli ilinishangaza sana kutolewa kipindi hiki. Focus!

2. Video ya wachezaji wa Simba wakiongozwa na captain Zimbwe kuingia mazoezini jana huku wanacheza muziki. Hakukuwa na umuhimu wa kufanya kitendo hadharani kipindi hiki. Kufanya kitendo kile kuelekea mechi ngumu kama ya leo kinaleta picha ya kwamba wachezaji wameridhika, kwamba wamemaliza na inaonyesha dharau kwa mpinzani wako. Hiki ni kipindi cha kukaa kimya na kumkimbiza mwizi kimya kimya. Focus!

3. Kitendo cha kuruhusu wachezaji waende kwenye harusi ya Aziz Ki. Nilimuona Chamou kwenye harusi ya Aziz Ki, sina uhakika wachezaji gani wengine walikuwepo. Ni jambo la kushangaza kuona Chamou alikosa mechi ya Namungo kisa harusi ya Aziz Ki. Ile mechi, Che Malone angeumia kama alivyoumia leo, Simba haikuwa na mbadala wake kwenye benchi. Hili jambo lilinifikirisha sana, nikajiuliza maswali mengi. Yaani mpinzani wako kaamua kufanya upuuzi katikati ya msimu na wewe unajiunga katika upuuzi wake? Nafikiri kuna hali ya kutotambua uzito wa upinzani wa Yanga wa ndani na nje ya uwanja katika mapambano haya ya ubingwa.

Pamoja na kwamba msimu huu Simba inajenga timu ila ikikosa ubingwa ijilaumu tu yenyewe. Yanga hapo kati walivurugana sana. Ilihitaji tu kukeep focus ndani na nje ya uwanja baasi.

Nafasi ya Simba kuchukua ubingwa bado ipo ingawa kwa makosa haya imekuwa ngumu zaidi. Kilichobaki ni kuhakikisha inashinda mechi zote zilizobaki ikiwemo derby.
Hapana mm simba ila nafasi ya ubingwa kwa makosa haya impossible zimbe na kapombe are legendary lakini huoni ukomavu alionao dickson job au kibwana kama ndio hiv una mecĥi ww unakata viuno kama ferry dansa dah simba sijui ugonjwa gani kama simba angekuwa makini mechi zote za azam singida na Coastal angeetangaza ubingwa mapema sana
 
Kapombe ndio mchezaji bora wa simba hadi sasa.

Inshort kapombe ndio mchezaji Bora wamsimu huu ndani ya Simba.

Otherwise weweHuangalii Mpira au Hujui Mpira.

AU UNAANGALIA MPIRA HUKU UNALEWA MAPOMBE AU KICHWANI DISHI.
Kapombe hana pumz akipanda na hajui ile idea kwa timu isiyojielewa halafu hawez kurudi akipigiwa counters
 
Back
Top Bottom