Kinachoigharimu Simba ni kupoteza focus katika nyakati muhimu

Kinachoigharimu Simba ni kupoteza focus katika nyakati muhimu

Ateba, Ngoma, Che Malone..??? Hawa wananipa wasiwasi Sana kama ni wachezaji wenye hadhi ya kucheza simba
 
1000055313.jpg

Post ya jana ya Mo Dewji.

Wakubwa wananisikiliza na kunielewa.
 
Nafikiri mkuu umeongea kila kitu ambacho hata mimi nilikiona kwa hii Simba ya sasa... Timu haina time management ikiwa uwanjani. Hilo ndio tatizo kubwa, nafikiri kwa hili kocha anahusika kwa 100%... Kuna muda hajui timu icheze vipi ikiwa kwenye kipindi kipi, nani aingie wapi kwa ajili ya kufanya nini, hili bado linamsumbua kocha wetu...
 
Ukifanya harusi unashauriana na nduguzo ili ratiba ya harusi iendane na ratiba zao, kama kuna wa kusafiri wajipange, nk. Ni wazi Aziz Ki hakuzingatia ratiba za hao kina Chamou na wenzie au hawana umuhimu huo kwake unaotaka kuwapa.

Nilisema mwanzoni mwa msimu, ili Simba imfunge Yanga na iweze kupambania ubingwa inabidi urafiki wa wachezaji upigwe stop mpaka mwishoni mwa msimu. Kilichofanyika kimeonyesha udhaifu mkubwa sana wa kiuongozi. Yaani unaweka rehani mechi yako kisa kuhudhuria upuuzi wa mpinzani wako?

Hayo mengine sitayajibu.
Hoja ya Nouma kwenda kwenye harusi ni weak point,Mbona wa Yanga walienda na wakaperform......Ahoua pia alikwepo kwenye harusi nikuongezeee..

Kuna maisha baada ya mpira usijifikirie upande wako tu ...La msingi linaicost Simba Nikujipa jina kubwa wakati uwezo wa kupambana ni mdogo game nyiingi za mikoani zimenifanya niongee haya
 
Back
Top Bottom