Kinachoigharimu Simba ni kupoteza focus katika nyakati muhimu


Kapombe ndio mchezaji bora wa simba hadi sasa.

Inshort kapombe ndio mchezaji Bora wamsimu huu ndani ya Simba.

Otherwise weweHuangalii Mpira au Hujui Mpira.

AU UNAANGALIA MPIRA HUKU UNALEWA MAPOMBE AU KICHWANI DISHI.
 
Kibu De ni kama anafunga macho pale anapopiga mpira golini i.e. Mashuti yake hayana macho.

Kwa upigaji huo uwezekano wa yeye kufunga ni 1: 1000

Naamini kwa msimu huu hatafunga goli lolote ndani ya nbc

Ikiwapendeza uongozi umuuze kuliko kutujazia nafasi
 
Mkifika 56% ya ujenzi wa timu, hayo makosa yataondoka. Nakukumbusha bado mpo 40%
 
Ngoja nikuulize swali Moja tu,,hivi hao wakina charabou na ahou walipoenda kwenye harusi ya Aziz ki walijiondokea tu bila ruhusa ya viongozi?
 
Hizo back passes ndio mchawi wa Simba
Wewe ndio umesema ukweli. Tumewakumbusha hapa mara nyingi sana Simba akishaongoza tu hata kwa tofauti ya goli moja basi wanaridhika wanaanza upuuzi wao wa back pass badala ya kutafuta goli lingine wauiue mechi. Mechi ya jana na Azam baada ya kupata tu goli la pili wachezaji wote waliridhika wakaanza kucheza na majukwaa mpaka Fadlu naye akawa anacheza na jukwaa badala ya kuwahimiza wachezaji wake watafute goli la tatu. Tena ilikuwa rahisi sana maana AZAM walishachanganyikiwa kabisa wameeelekea kibla wanasubiri kuchinjwa.
 
Baadhi ya Marefa wameisaidia Simba wachezaji wake kubweteka hii hupelekea simba wapoteze umakini kutokana na udanganyifu wa wachezaji mfano jana wakati mchezaji wa Azam anaokoa golini mchezaji wa Simba alimwambia refa ameushika mpira kwa refa ambaye hayuko makini yangeliwezesha penati
 
Huna hoja ya maana,ungesema simba wanaridhika mapema uwanjani wakishapata matokeo kiduchu ya awali hapo sawa!
 
Tutamsajili mumeo na mashemejio wote ili tupate kikosi sahihi bibie!
 
Hamkosekanagi
 
Siku hizi watu wanahama kutoka kuwa mashabiki hadi kuwa wapenzi wa timu. Ndio maana yote haya yanatokea. Mindset imeshabadilika, wanaamini UADUI
 
Uko sahihi sana Mkuu.
 
YANGA wakifungwa au wakitoa droo huoni wakilia lia kama watoto ktk mitandao, badala yake wapongezana na wanajipanga upya...
Shida 5imba mnacheza huku mnaiwaza Yanga, siwatanii tarehe 8 mnakojolewa tena kwa ×5 mfululizo
We jamaa sijui unaongea kitu gani? Wale Mashabiki wanaoongeaga na vyombo vya habari na kujikuta wanapigwa na Mashabiki wenzao (hasa baada ya timu yao kufanya vibaya) huwa ni wa timu gani?

Sisi huku tuna Uhuru wa kuongea, nyie huko mnapigana mtu akitaka kusema ukweli.
 
Vp Azam Na Simba Leo Sio Ndugu? Hizi Ndo Mechi Za Kuangalia Hakuna Maigizo Wala Maagizo.

Sio Mambo Ya Beki Anampisha Mshambuliaji
Kuna Timu Nbc Washambuliaji Wake Wamefunga Kwenye Timu Washirika Tu.
 
Kati ya point zako 3 ni point No.1 pekee ndo iliyoleta matokeo ya Jana. Ni ujinga kumtetea Ahmed Ally, Ally Kamwe au Msemaji yeyote anapoongea kama mlevi. Halafu amepewa nafasi ya Kuomba radhi Kwa wahusika anapiga simu Kwa Zaka kumuuliza kama ameudhika? Naye akamjibu Kwa akili, "Mimi ni Nzi mkubwa tukutane uwanjani". Asivyo na akili akacheeeka kama mazuri vile.
 
Hapana mm simba ila nafasi ya ubingwa kwa makosa haya impossible zimbe na kapombe are legendary lakini huoni ukomavu alionao dickson job au kibwana kama ndio hiv una mecĥi ww unakata viuno kama ferry dansa dah simba sijui ugonjwa gani kama simba angekuwa makini mechi zote za azam singida na Coastal angeetangaza ubingwa mapema sana
 
Kapombe ndio mchezaji bora wa simba hadi sasa.

Inshort kapombe ndio mchezaji Bora wamsimu huu ndani ya Simba.

Otherwise weweHuangalii Mpira au Hujui Mpira.

AU UNAANGALIA MPIRA HUKU UNALEWA MAPOMBE AU KICHWANI DISHI.
Kapombe hana pumz akipanda na hajui ile idea kwa timu isiyojielewa halafu hawez kurudi akipigiwa counters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…