Ukifanya harusi unashauriana na nduguzo ili ratiba ya harusi iendane na ratiba zao, kama kuna wa kusafiri wajipange, nk. Ni wazi Aziz Ki hakuzingatia ratiba za hao kina Chamou na wenzie au hawana umuhimu huo kwake unaotaka kuwapa.
Nilisema mwanzoni mwa msimu, ili Simba imfunge Yanga na iweze kupambania ubingwa inabidi urafiki wa wachezaji upigwe stop mpaka mwishoni mwa msimu. Kilichofanyika kimeonyesha udhaifu mkubwa sana wa kiuongozi. Yaani unaweka rehani mechi yako kisa kuhudhuria upuuzi wa mpinzani wako?
Hayo mengine sitayajibu.