Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti wa kudumu Sitta sasa anazungumza
...nimependa kauli yake Sitta, kuwa' MH.PANDU KIFICHO MWENYEKITI WA MUDA WA BUNGE LA KATIBA" ANA HEKIMA NA BUSARA, kwahiyo ataendelea kumtumia uzoefu wake kwenye kamati mbalimbali.
Naungana na wewe kumpongeza mzee wetu hongera zake sana.![]()
Mheshimiwa Pandu Amir Kificho:
Asante sana kwa Hekima na Busara jinsi ulivyoonyesha kiwango cha juu katika nafasi ya Mwenyekiti wa muda wa Bunge la Katiba.
Kuna kitu wadau sijaelewa Jk anazindua Bunge na kuondoka zake au atazindua pamoja na kuhutubia? Hapa sijaelewa mambo yanaedaje.
Mungu ni mwema sasa tunazidi kupiga hatua za msingi kabisa.