Ameandika wakili msomi:
Kikao cha dharura kinafanyika leo, Mei 7, 2025, kujadili suala la Kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA MH.WAKILI MSOMO Tundu Lissu
Wabunge wamewasilisha mapendekezo ya miswada ya maazimio yenye msimamo wa pamoja:
1. Kushutumu vikali kukamatwa kwa Tundu Lissu na mashtaka ya uhaini yanayomkabili, wakiyataja kuwa na mwelekeo wa kisiasa.
2. Kudai kuachiwa kwake mara moja bila masharti na kufutwa kwa mashtaka hayo.
3. Kuhimiza serikali ya Tanzania kuheshimu haki za binadamu, uhuru wa kujieleza, na kuhakikisha ushiriki wa vyama vya upinzani katika uchaguzi wa Oktoba 2025.
4. Kutoa wito kwa Umoja wa Ulaya na nchi wanachama kufuatilia kwa karibu hali ya haki za binadamu nchini Tanzania na kuchukua hatua stahiki endapo hali hiyo itaendelea kuzorota .
Mjadala huu unao bainisha aibu yetu ni jambo la kujitafakari kwani mambo mengi yanayoleta sintofahamu hizi yanajadilika na kutatulika kwa majadiliano kama tukiamua kupuuza wajinga na kusikiliza wenye hekima.
Pia soma: Hili la Lissu na tulipofika: "Hivi hatuoni aibu kuchagizwa, ili kutenda haki? Hivi tutakuwa hata na majibu gani kwa Mola?"