ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Ndio hao hao ila Cha kufahamu na kuzingatia ni kwamba at any cost kibaraka hawezi kanyaga ikulu.
Ndio hao hao ila Cha kufahamu na kuzingatia ni kwamba at any cost kibaraka hawezi kanyaga ikulu.
Ndio hao hao ila Cha kufahamu na kuzingatia ni kwamba at any cost kibaraka hawezi kanyaga ikulu.
BOra kuwa kibaraka wa wazungu kuliko wewe ni kibaraka wa watawala (ngozi nyeusi??)!.Kibaraka hawezi ruhusiwa kuingia ikulu na Wazalendo so msijisumbue.
Sasa Kwa nini nisiwe kibaraka wa tunaofanana rangi badala yake ujipendekeze Kwa wakoloni? Una akili timamu?BOra kuwa kibaraka wa wazungu kuliko wewe ni kibaraka wa watawala (ngozi nyeusi??)!.
Yaani unakuwa kibaraka wa sa100 kwa elimu yake ile ya kuungaunga, haujielewi!.