Daadek...hapo kwenye orangeKutoa wito kwa Umoja wa Ulaya na nchi wanachama kufuatilia kwa karibu hali ya haki za binadamu nchini Tanzania na kuchukua hatua stahiki endapo hali hiyo itaendelea kuzorota .
Mungu ndio mweza wa yoteHaki itashinda!
Mwanahalisi wana vijambo
Tupeni link, au official statement au press release ya Bunge la Ulaya.
Ni wahisani hao, wana haki ya kujua hali ya demokrasia na utawala bora. Tanzania inanufaika na ruzuku/mikopo toka kwao. Huyu mama anaendaga huko kupitisha bakuli, kuna fedha za "mabadiriko ya tabia ya nchi" alikunja toka huko.
#FreeLissu
US wanasemaje?

acha kuropoka naniii 🐒Bila shaka roho yako itakuwa imesuuzika kwa maana ni wachawi tu wanaoweza kuwanung'unikia mabeberu kwa hatua, yaani:
View attachment 3327489
Lucas, Tlaa'tlaah na wale wenzenu au nasema uongo?
Kwani je, ni upi msimamo wa bunge linaloongozwa na mkuu wa mabunge yote duniani? Inakuwaje ulaya wanaona haya ya ndani au kuna kibaraka hapa?Ameandika wakili msomi:
Kikao cha dharura kinafanyika leo, Mei 7, 2025, kujadili suala la Kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA MH.WAKILI MSOMO Tundu Lissu
Wabunge wamewasilisha mapendekezo ya miswada ya maazimio yenye msimamo wa pamoja:
1. Kushutumu vikali kukamatwa kwa Tundu Lissu na mashtaka ya uhaini yanayomkabili, wakiyataja kuwa na mwelekeo wa kisiasa.
2. Kudai kuachiwa kwake mara moja bila masharti na kufutwa kwa mashtaka hayo.
3. Kuhimiza serikali ya Tanzania kuheshimu haki za binadamu, uhuru wa kujieleza, na kuhakikisha ushiriki wa vyama vya upinzani katika uchaguzi wa Oktoba 2025.
4. Kutoa wito kwa Umoja wa Ulaya na nchi wanachama kufuatilia kwa karibu hali ya haki za binadamu nchini Tanzania na kuchukua hatua stahiki endapo hali hiyo itaendelea kuzorota .
Mjadala huu unao bainisha aibu yetu ni jambo la kujitafakari kwani mambo mengi yanayoleta sintofahamu hizi yanajadilika na kutatulika kwa majadiliano kama tukiamua kupuuza wajinga na kusikiliza wenye hekima.
Pia soma: Hili la Lissu na tulipofika: "Hivi hatuoni aibu kuchagizwa, ili kutenda haki? Hivi tutakuwa hata na majibu gani kwa Mola?"
Kibaraka hawezi ruhusiwa kuingia ikulu na Wazalendo so msijisumbue.Ameandika wakili msomi:

Kwani je, ni upi msimamo wa bunge linaloongozwa na mkuu wa mabunge yote duniani? Inakuwaje ulaya wanaona haya ya ndani au kuna kibaraka hapa?
Kibaraka hawezi ruhusiwa kuingia ikulu na Wazalendo so msijisumbue.