Kweli mkuu. wanatufuatilia sana hawa watu, ni zamu yetu sasa kujua nao demokrasia yao. kuna mgombea taayari kasema hatakubali matokeo akishindwa.Nchi ya Marekani iko kwenye mchakato wa uchaguzi wa Rais kwa sasa. Naona kimya humu wakati wao mambo yetu wanayafuatilia, hebu tujuzane humu kinachoendelea huko.
Wale wa :
Washington DC
New York
Chicago
Seatle
Califonia
Texas
Nevada nk.
Haijalishi hata kama uko huko kwa msaada wa VPN we lete kinachojiri huko.
Mahondaw auMsalimie Shemeji