Kinachojiri uchaguzi wa Rais wa Marekani

Kinachojiri uchaguzi wa Rais wa Marekani

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,188
Reaction score
6,633
Nchi ya Marekani iko kwenye mchakato wa uchaguzi wa Rais kwa sasa. Naona kimya humu wakati wao mambo yetu wanayafuatilia, hebu tujuzane humu kinachoendelea huko.
Wale wa :
Washington DC
New York
Chicago
Seatle
Califonia
Texas
Nevada nk.
Haijalishi hata kama uko huko kwa msaada wa VPN we lete kinachojiri huko.
 
Sio kimya,thd za uchaguzi wa US zimeshafunguliwa humu wakati wewe umeuchapa usingizi.😂😂
 
Nchi ya Marekani iko kwenye mchakato wa uchaguzi wa Rais kwa sasa. Naona kimya humu wakati wao mambo yetu wanayafuatilia, hebu tujuzane humu kinachoendelea huko.
Wale wa :
Washington DC
New York
Chicago
Seatle
Califonia
Texas
Nevada nk.
Haijalishi hata kama uko huko kwa msaada wa VPN we lete kinachojiri huko.
Kweli mkuu. wanatufuatilia sana hawa watu, ni zamu yetu sasa kujua nao demokrasia yao. kuna mgombea taayari kasema hatakubali matokeo akishindwa.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom