Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Ni kweli mkuu ilaaaMnapokuwa katika mahusiano siku za mwanzo mnapeana ahadi chungu Tele, na hapo ndipo chanzo cha mimba, baada ya kuzoeana ndipo mnapoanza kufahamiana tabia na ndipo tabia za hasi na chanya kutokaa pamoja. Hatimae mnaachana na mwanamke ameshazaa, ndipo chanzo cha single mum! Tusiwanyanyapae, Labda sio chanzo NI yeye Labda NI mwanaume ndio chanzo, tusiwahukumu wote, tuwe ' fair ' pande zote
Binti,
Tolewa posa ndo utanue miguu, imeshindikana avae condom ndo mtanulie miguu, imeshindikana meza p2, imeshindikana basi umeamua kwa utashi wako kuzaa.