Kinachokukera ni nini? Pilipili ipo shamba unawashwa na nini? Tuseme NI wivu au Roho mbaya Tu!

Ni kweli mkuu ilaaa
Binti,
Tolewa posa ndo utanue miguu, imeshindikana avae condom ndo mtanulie miguu, imeshindikana meza p2, imeshindikana basi umeamua kwa utashi wako kuzaa.
 
Inatokea kwa kutaka wenyewe na uzembe au tamaa.
Condom, vidonge, shindano na vijiti vya kuzuia mimba vipo.
Njia ya za asili kama kuchomoa nje, mzunguko wa hedhi na kujizuia kabisa vipo.
Single mum kuna walio olewa wakaachika Kwa sababu mbalimbali ktk maisha ya mke na mume na hao ambao wanaishi Kwa Kama wachumba Kwa miezi mitatu sita wanaachana, hao walitegemea wangeoana, wanastarehe pekupeku hatimae mimba
 
Mkuu mwanamke kuishi na mwanaume wazazi hawana taarifa ni umalaya. Ikitokea mimba mkaachana ni matokeo ya umalaya.
Kama mmependana kwanini msipelekane kwa wazazi?
 
Asante studio
 
Mimi sina tatizo.na single mazas kuolewa. Wanaolewa sana na ni jambo zuri. Hongera zake Hamisa kwa kuolewa...sina wivu lakini wataachana tu.
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuh!!!
 
Single mum kuna walio olewa wakaachika Kwa sababu mbalimbali ktk maisha ya mke na mume na hao ambao wanaishi Kwa Kama wachumba Kwa miezi mitatu sita wanaachana, hao walitegemea wangeoana, wanastarehe pekupeku hatimae mimba
Hao walio olewa na kuachika tofauti na Hamisa.
Sitaki kuwahukumu wote nataka kupinga kumtetea Hamisa.
Huyo alijua kabisa Diamond yupo na mtu akakubali kushiriki naye ngono bila kuzuia mimba.
Kama alikosea kwa Majizzo kwanini alirudia kosa kwa Diamond?
 
Sasa wewe kama kijana una akili sawa sawa utaoaje Hilo takataka Kila mtu amemwagia? Tena inajulikana ni zee? Limezalishwa,huyo sawa na kiporo.
 
Sasa single maza wakiolewa kinachowauma nini? Hamisa akikuambua umuoe utakataa?
Yaani Mimi nioe Malaya?

Achilia mbali Kumuona hiyo yaani siwezi kubali binti yangu aniletee mwanaume anaesuka nywele hata kama.ni Diamond.
 
Labda kama wewe hufatiliii.....Single maza kuolewa ni kujitafutia Moto.

Tena single maza wa wababa zaidi ya mmoja 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…