captain dunga
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 282
- 634
"Hapo ndiyo nikagundua nini kiliwaliza MAKONDA, wa daladala ,mi nashindwa kulala lala, hana mbadala dala, anaitwa Kaja.....""Tena ni fundi wa kuchanua utasema samaki Ng'onda"
Nasikia Makonda alitoa machozi hapo mzee, Harmonize kamtaja kwa fasihi..
"Mtihani wa mapenzi hakuna alifuzu,
Ni sawa na unywe pombe na useme una uzu,
Mtu ukishapenda unakuwa zuzu.."