Kinachomkuta Harmonize kurudiana na Kajala si kipya katika ulimwengu wa mapenzi

Hapo wanawake ndio huvimba balaa aisee ,yaan kajala hapa kapaishwa balaa ingawa naamin atarud tu kwa konde boy
 
hivi wasanii hawawezi kunyanduana kimya kimya mpaka iwe ishu mitandaoni? aisee maisha magumu sana haya , mbona wabunge wananyanduana kwa kwenda front lakini walaaaa husikii sijui fyokoooo, nadhani elimu pia ina matter kwa sanaa zetu hizi za standard seven za kina mondi na konde
 
Duh..!
Itakuwa huyo mama anajua kufinyia ndani[emoji39]
 
Baada ya kupigwa parefu na Briana kisha akasepa sasa anamkumbuka Msukuma, akumbuke ameshamuonyesha 'mwanae' dudu kupitia video call mpaka mama mkwe kaliona.

Wengine tulivyokuwa makuzi ndumu haikuwa ikitupelesha dizaini inavyompelekesha huyu dogo, labda na yeye anataka amtaimu demu ategeshe kamera aweze kulipiza kisasi.

Kama yuko serious basi anahitaji psychiatrist apate therapy ya nguvu, sijui management haimshauri au dogo hashauriki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…