Kinachomsumbua Luhaga Mpina ni ukabila na chuki binafsi kwa Rais Samia

Bahati nzuri anachozungumza ni kweli.
Sema tangu Magufuri afariki,Mpina ameachana na Uchawa.
 
Hayati JPM alimuamini Mpina akampa uwaziri lakini baadae akaja kugundua kuwa jamaa kidogo dishi limeyumba akaamua kuachana nae.

Ni mtata sana huyu mheshimiwa.
Nyumbu wengi humu hawataki kusikia hili, ni hawayani flani hv mpina......na dawa nzuri ya mahayawani ndo kama hii anayoitumia Samia; kuwapotezea, yaani unawaignore. Ikilazimu kuelimishwa ataelimishwa ila kwa Sasa dishi limeachwa tu lijipigie kelele.
 
Rubbish.
 
Mimi siyo chawa bali ni msema kweli

Ni haki yako ila usijaribu kuiba kura maana hakuna mzalendo anayependa rasilimali za nchi ziuzwe kwa wageni na pesa zake watu wanazichezea . Mtu anaamua tu kubadilisha pesa ili Sele saini yake . Hivi huoni kuwa pesa inayobadilishwa badilishwa haina soko nje kwa sababu haifai kuiweka akiba maana saa yoyote inagauka kuwa tishu .

Msifie kama Mungu lakini msiibe kura ili watanzania waonyeshe wanamtaka nani kwenye sanduku la kura .

Kama nchi moja yenye mamlaka kamili kama Zanzibar inatoa marais wawili kwa wakati mmoja tena mmoja hata historia yake haieleweki . Wazazi wake malezi yake ,uvumilivu wake kidini na kikabila na rangi ,lakini pia mtizamo wake dhidi ya watanganyika 'a rasilimali zake .
Bila shaka hujawahi kufanya shughuli yoyote na watu kutoka nje ya Tanganyika ukaona chuki yao ilivyo kubwa . Kuna watu kwa hulka na malezi yao k hata kupeana mkono na mtu asiye wa kwao ni nuksi .
Sasa mtu akikulia kwenye tamaduni zenye ubaguzi halafu ghafla una mpa mamlaka makubwa kwenye nchi nyingine ni jambo gumu sana kumfanya awaamini na kuwapenda . Zaidi kila kitu ataona kama kinafanya na watu asiofaa .
Ndio maana kila kitu tunaporwa na kupewa wageni anaofanana nao katika malezi na itikadi .

Tunataka tume huru kama haiwezekani ni bora CCM waendelee kutawala bila kutupotezea muda wa uchaguzi mpka atakapobadili mfumo wa uchaguzi na tume yake lakini pia katiba .

Uchaguzi usogezwe mbele mpaka 2027 . Akae tu mana mnasema watu wanampenda . Kama wanampenda basi hatuna haja ya uchaguzi wa kuua watu na kupora masanduku ya kura na kupiga watu . Mwaka huu mkilazimisha mjue hata kule Zanzibar hali itageuka mana nao hawatatoka uchaguzi wa kisanii watataka uchaguzi wa wazi na huru sio kama miaka iliyopita . Kama Karume mdogo alivyofanya uchaguzi kwa haki na akashinda basi Mwinyi naye iwe hivyo hivyo na Samia naye iwe hivyo hivyo . Tume huru na uchaguzi uhojiwe mahakamani na atakayevuruga uchaguzi atakutana na mkono wa chuma au nguvu ya umma .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…