Kinachomsumbua Luhaga Mpina ni ukabila na chuki binafsi kwa Rais Samia

Ndugu zangu Watanzania,

Msishangae Kwanini Luhaga Mpina Amekuwa akitoa taarifa za uzushi,uongo na uchonganishi mara kwa mara. Nyote ni mashahidi wa namna ambavyo amekuwa akitoa taarifa kuonyesha kana kwamba hakuna kilichofanyika awamu hii pamoja na kutoa maneno yenye kutaka kuleta na kujenga hofu kwa watanzania kwa taarifa na takwimu zisizo na ukweli wala uhalisia wa aina yoyote ile.

Amekuwa akijifanya kuzunguka zunguka kumshambulia waziri wa Fedha Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba. Lakini kiuhalisia huwa anamrenga Rais Samia kutaka kumchafua yeye binafsi pamoja na serikali yake.

Lengo lake ni kutamani kumuangusha au kumuondolea Imani aliyojijengea kwa watanzania, inayotokana na uchapakazi wake uliotukuka na uliogusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti ambao sasa wana sauti na nguvu katika Maisha yao ya kila siku.

Soma Pia: Luhaga Mpina: Wanaomsifia Rais Samia ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu

Kinachomsumbua Luhaga Mpina ni Ukabila na chuki binafsi aliyo nayo na iliyomjaa kifuani pake zidi ya Rais Wetu. Ni mtu ambaye alitamani kutokuona Rais wetu na Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan akiapishwa na akikalia kiti cha Urais kuongoza Taifa hili.

Kama angekuwa na uwezo wa aina yoyote ile pengine angepindua hadi maelekezo na matakwa ya katiba yetu ili tu Mama yetu asiwe Rais. Ni mtu ambaye ana hasira kubwa sana hasa anapoona Rais wetu anaendelea kupata uungwaji mkono pamoja na kuendelea kukubalika,kupendwa na kupongezwa sana na watanzania kwa kazi kubwa aliyoifanya ndani ya muda mfupi.

Ndio Maana kwa hasira , Ukabila na chuki zake binafsi alizonazo anaamua kutafutiza na kuunganisha vitakwimu vya uongo ili kujaribu kumchafua RAIS wetu. Bila kujua kuwa Watanzania siyo mambumbumbu wala mazuzu.

Kwa sababu kila mtanzania anafahamu ya kuwa miradi mikubwa na ya kimkakati kama vile Bwawa la Mwalimu Nyerere liliachwa na Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli likiwa 34% lakini kwa sasa limekamilika na lipo tayari kwa uzalishaji wa umeme wa takribani megawati 2115.

Mradi wa SGR ulikuwa ndio unaanza wakati wa Hayati Dkt John Magufuli lakini kwa sasa watu wanasafiri utafikiri wapo ulaya kutoka Dar es salaam hadi Dodoma ndani ya muda mfupi sana. Watu wanatambua mikoa mbalimbali ilikuwa haijaunganishwa katika Grid ya Taifa lakini sasa imeunganishwa.

Watanzania wanatambua ni Rais Samia ambaye amepandisha mapato ya TRA bila kukimbizana na kushikiana mitutu ya bunduki katika kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa tangia kupata uhuru wa Taifa letu. Ni Rais Samia kwa juhudi zake kupitia Royal Tour Amepelekea watalii kuongezeka na kufikia Millioni 1.8 na hivyo kuongeza mapato maradufu.

Rais Samia ameongeza Bajeti ya kilimo kutoka Billioni 250 na sasa ni zaidi ya Trilioni moja. Jambo ambalo limegusa maisha ya watanzania moja kwa moja hasa kwa kuzingatia kuwa watanzania wengi ni wakulima na hivyo ukiinua kilimo unakuwa umewainua mamilioni ya watanzania. Hapo hapo ikumbukwe Mama amekuwa akitoa Mabilioni ya pesa kama Ruzuku katika kilimo hususan pembejeo hasa mbolea. Jambo lililopelekea mbolea kuwa na bei ambayo mwananchi anaweza kuimudu.

Rais Samia ni yeye ambaye anatoa zaidi ya Bilioni 33 kila mwezi kama Ruzuku kwa ajili ya kugharamia Elimu bure ili watoto wote hadi wa maskini wapate Elimu na kutimiza ndoto zao. Ni Mama huyu huyu ambaye amefikisha zaidi ya Billion mia 7 bejeti ya Elimu ya juu kwa ajili ya kuwakopesha wanafunzi wa vyuo ili wapate Elimu na hapo bado sijazungumzia Elfu kumi ambayo wanavyuo wana pata kama pesa ya kujikimu kila siku..

Ni Mama huyu huyu ambaye amewapandisha madaraja na kuwaongeza mishahara na nyongeza ya kila mwaka watumishi wa umma wote hapa Nchini.ambao Awali walisota na kuona ajira na utumishi wa umma ni kama adhabu na utumwa. Lakini leo wana morali ya kufanya kazi na kuwahudumia watanzania kwa upendo na ukarimu wafikao katika ofisi za umma kupata huduma.

Ni Rais Samia huyu huyu ambaye mara baada ya kuingia tu madarakani alianza kumwaga ajira kwa vijana maelfu kwa maelfu ambazo hapo Awali ilikuwa ni kizungumkuti. Na kupelekea vijana wengi kuishi mitaani pasipo Matumaini zaidi ya kujikatia tamaa tu. Hata hivi sasa kuna ajira zaidi ya elfu 14 za ualimu zinasubiri vijana ili wakalitumikie Taifa lao baada ya kukamilika kwa usaili unaoendelea mikoani kwote na hapo sijazungumzia na zile ajira za afya.

Rais Samia amefanya mambo mengi sana ambayo siwezi kuyamaliza kuyataja hapa. Hii ndio maana hata CCM kwa kutambua uchapakazi wa Mama yetu imeamua kumpitisha Mama kuwa Mgombea pekee wa CCM atakaye peperusha bendera katika uchaguzi Mkuu wa hapo baadaye mwishoni mwa mwaka huu wa 2025.

Hili jambo ndilo lililomuumiza sana Mpina ambaye amejaa ukabila na chuki binafsi tu kwa Rais wetu. Embu muangalie hapa chini alivyokosa raha wakati wenzake wote wanashangilia pale ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma wakati wa mkutano mkuu maalumu uliompitisha Mama kugombea Urais

Yeye alishindwa hata kuvaa tu sare za chama na akaamua kuingia ukumbini utafikiri mvamizi wa kikao. Embu muangalie hapa ndio muelewe hiki ninachowaambieni.👎View attachment 3220283

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Wewe kilichokuwa kinasumbua Kwa Tundu Lissu kuwa mwenyekiti chadema ni kitu gani?
 
Anachokisema Mpina hakina mashiko wala ukweli wala uhalisia.Ni Uropokaji tu uliojaa ukabila na chuki binafsi tu.
Kuliko kumjadili Mpina na Chuki zake (ni haki yake sio lazima ampende mtu na anaweza kumchukia kama wewe unavyomchukia yeye); tujadili anachokisema na anachokisema mimi kama Mlipa Kodi naona kina Mashiko, Mikopo imezidi, Tozo zimezidi lakini sioni value for money.... Na mimi sina Mapenzi wala chuki na yoyote na muda huo sina zaidi ya kupenda kuona value ya our hard earned cash....

Lucas unajua kweli kuwakera hawa nyumbu. Kiufupi, mpina ni mpumbavu tu mmoja asiye na athari yoyote ndo maana mama Samia ameamua kumpotezea tu Ili aumie vizuri......yaani afe Huku akijiona. Watu pekee wanaomuunga mkono mpina ni hawa nyumbu wachache wa humu jf wanaokushukia na matusi, Huku mtaani watu wanasaka mafekeche tu kwa kuitumia vizuri miundombinu iliyowekwa vizuri na mama.

Endelea kuwaumiza ndg. Lucas, waambie kwa sauti kubwa kuwa Mama Samia, The Mother of Modern Tanzania, yupo kitini mpaka 2030 hivyo kama Kuna matusi ya ziada hawa nyumbu wameyabakisha na kuyahifadhi kwenye sidiria zao basi wayatoe tu tayari kwa kuyarusha.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Msishangae Kwanini Luhaga Mpina Amekuwa akitoa taarifa za uzushi,uongo na uchonganishi mara kwa mara. Nyote ni mashahidi wa namna ambavyo amekuwa akitoa taarifa kuonyesha kana kwamba hakuna kilichofanyika awamu hii pamoja na kutoa maneno yenye kutaka kuleta na kujenga hofu kwa watanzania kwa taarifa na takwimu zisizo na ukweli wala uhalisia wa aina yoyote ile.

Amekuwa akijifanya kuzunguka zunguka kumshambulia waziri wa Fedha Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba. Lakini kiuhalisia huwa anamrenga Rais Samia kutaka kumchafua yeye binafsi pamoja na serikali yake.

Lengo lake ni kutamani kumuangusha au kumuondolea Imani aliyojijengea kwa watanzania, inayotokana na uchapakazi wake uliotukuka na uliogusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti ambao sasa wana sauti na nguvu katika Maisha yao ya kila siku.

Soma Pia: Luhaga Mpina: Wanaomsifia Rais Samia ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu

Kinachomsumbua Luhaga Mpina ni Ukabila na chuki binafsi aliyo nayo na iliyomjaa kifuani pake zidi ya Rais Wetu. Ni mtu ambaye alitamani kutokuona Rais wetu na Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan akiapishwa na akikalia kiti cha Urais kuongoza Taifa hili.

Kama angekuwa na uwezo wa aina yoyote ile pengine angepindua hadi maelekezo na matakwa ya katiba yetu ili tu Mama yetu asiwe Rais. Ni mtu ambaye ana hasira kubwa sana hasa anapoona Rais wetu anaendelea kupata uungwaji mkono pamoja na kuendelea kukubalika,kupendwa na kupongezwa sana na watanzania kwa kazi kubwa aliyoifanya ndani ya muda mfupi.

Ndio Maana kwa hasira , Ukabila na chuki zake binafsi alizonazo anaamua kutafutiza na kuunganisha vitakwimu vya uongo ili kujaribu kumchafua RAIS wetu. Bila kujua kuwa Watanzania siyo mambumbumbu wala mazuzu.

Kwa sababu kila mtanzania anafahamu ya kuwa miradi mikubwa na ya kimkakati kama vile Bwawa la Mwalimu Nyerere liliachwa na Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli likiwa 34% lakini kwa sasa limekamilika na lipo tayari kwa uzalishaji wa umeme wa takribani megawati 2115.

Mradi wa SGR ulikuwa ndio unaanza wakati wa Hayati Dkt John Magufuli lakini kwa sasa watu wanasafiri utafikiri wapo ulaya kutoka Dar es salaam hadi Dodoma ndani ya muda mfupi sana. Watu wanatambua mikoa mbalimbali ilikuwa haijaunganishwa katika Grid ya Taifa lakini sasa imeunganishwa.

Watanzania wanatambua ni Rais Samia ambaye amepandisha mapato ya TRA bila kukimbizana na kushikiana mitutu ya bunduki katika kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa tangia kupata uhuru wa Taifa letu. Ni Rais Samia kwa juhudi zake kupitia Royal Tour Amepelekea watalii kuongezeka na kufikia Millioni 1.8 na hivyo kuongeza mapato maradufu.

Rais Samia ameongeza Bajeti ya kilimo kutoka Billioni 250 na sasa ni zaidi ya Trilioni moja. Jambo ambalo limegusa maisha ya watanzania moja kwa moja hasa kwa kuzingatia kuwa watanzania wengi ni wakulima na hivyo ukiinua kilimo unakuwa umewainua mamilioni ya watanzania. Hapo hapo ikumbukwe Mama amekuwa akitoa Mabilioni ya pesa kama Ruzuku katika kilimo hususan pembejeo hasa mbolea. Jambo lililopelekea mbolea kuwa na bei ambayo mwananchi anaweza kuimudu.

Rais Samia ni yeye ambaye anatoa zaidi ya Bilioni 33 kila mwezi kama Ruzuku kwa ajili ya kugharamia Elimu bure ili watoto wote hadi wa maskini wapate Elimu na kutimiza ndoto zao. Ni Mama huyu huyu ambaye amefikisha zaidi ya Billion mia 7 bejeti ya Elimu ya juu kwa ajili ya kuwakopesha wanafunzi wa vyuo ili wapate Elimu na hapo bado sijazungumzia Elfu kumi ambayo wanavyuo wana pata kama pesa ya kujikimu kila siku..

Ni Mama huyu huyu ambaye amewapandisha madaraja na kuwaongeza mishahara na nyongeza ya kila mwaka watumishi wa umma wote hapa Nchini.ambao Awali walisota na kuona ajira na utumishi wa umma ni kama adhabu na utumwa. Lakini leo wana morali ya kufanya kazi na kuwahudumia watanzania kwa upendo na ukarimu wafikao katika ofisi za umma kupata huduma.

Ni Rais Samia huyu huyu ambaye mara baada ya kuingia tu madarakani alianza kumwaga ajira kwa vijana maelfu kwa maelfu ambazo hapo Awali ilikuwa ni kizungumkuti. Na kupelekea vijana wengi kuishi mitaani pasipo Matumaini zaidi ya kujikatia tamaa tu. Hata hivi sasa kuna ajira zaidi ya elfu 14 za ualimu zinasubiri vijana ili wakalitumikie Taifa lao baada ya kukamilika kwa usaili unaoendelea mikoani kwote na hapo sijazungumzia na zile ajira za afya.

Rais Samia amefanya mambo mengi sana ambayo siwezi kuyamaliza kuyataja hapa. Hii ndio maana hata CCM kwa kutambua uchapakazi wa Mama yetu imeamua kumpitisha Mama kuwa Mgombea pekee wa CCM atakaye peperusha bendera katika uchaguzi Mkuu wa hapo baadaye mwishoni mwa mwaka huu wa 2025.

Hili jambo ndilo lililomuumiza sana Mpina ambaye amejaa ukabila na chuki binafsi tu kwa Rais wetu. Embu muangalie hapa chini alivyokosa raha wakati wenzake wote wanashangilia pale ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma wakati wa mkutano mkuu maalumu uliompitisha Mama kugombea Urais

Yeye alishindwa hata kuvaa tu sare za chama na akaamua kuingia ukumbini utafikiri mvamizi wa kikao. Embu muangalie hapa ndio muelewe hiki ninachowaambieni.👎View attachment 3220283

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mpeni discipline kama Babu mihogo
 
Kuliko kumjadili Mpina na Chuki zake (ni haki yake sio lazima ampende mtu na anaweza kumchukia kama wewe unavyomchukia yeye); tujadili anachokisema na anachokisema mimi kama Mlipa Kodi naona kina Mashiko, Mikopo imezidi, Tozo zimezidi lakini sioni value for money.... Na mimi sina Mapenzi wala chuki na yoyote na muda huo sina zaidi ya kupenda kuona value ya our hard earned cash....

Tanzania siyo miongoni mwa Nchi zenye madeni makubwa. Sasa unaanzia wapi kusema mikopo imezidi. Pia kukopa siyo dhambi bali inategemea unakopa kwa ajili ya kufanyia nini
 
Hupaswi kumuona ni mkabila. Luhaga ni mkweli, anasimama katika ukweli. Ndiye kada pekee wa ccm mwenye misimamo tofauti na wanachama wenzake ndani ya ccm. Luhaga aendelee tu kuwa ccm maana ameisha ji brand ni mpinzani wa ndani kwa ndani humohumo sisiemuni
 
Mpina ji Mzalendo na mwana mapinduzi halisi wa nchi yetu - Hoja zake zimeshiba na ni za kweli na ni lazima zipewe support na mwananchi yeyete mwenye uchungu na raslimali za nchi yetu.

Mpina Oyeeeee!!
 
Tanzania siyo miongoni mwa Nchi zenye madeni makubwa.
Kulinganisha na nani ? Na hata kama tungekuwa hatuna deni tuna sifuri alafu ndani ya miaka michache au awamu chache madeni hayo yakazidi maradufu lazima ujiulize na uangalie umefanya nini; Pia unajifananisha na nani

By the way kwanini miradi ya ndani ukope at all ?
Sasa unaanzia wapi kusema mikopo imezidi. Pia kukopa siyo dhambi bali inategemea unakopa kwa ajili ya kufanyia nini
Moja kwanini ukope ili ulipe RIBA kama kuna alternative; Kwanini usitumie vitu vya ndani kama vipo na wakandarasi wa ndani ambao utawalipa pesa ya ndani hivyo kuweza kutoa Bonds (au kutumia pesa za ndani; ambazo utatoa wewe kama Serikali bila kuhitaji Riba) na kufanya hio miradi ? Huoni hapo utakuwa umetumia gharama ndogo ? Usijilinganishe na USA sababu yeye anachofanya ni kuprint dollar anavyotaka na kuwauzia dunia hilo deni kama Bonds na kila mkija kudai Riba na Faida yenu anaprint zaidi....
 
Ndugu zangu Watanzania,

Msishangae Kwanini Luhaga Mpina Amekuwa akitoa taarifa za uzushi,uongo na uchonganishi mara kwa mara. Nyote ni mashahidi wa namna ambavyo amekuwa akitoa taarifa kuonyesha kana kwamba hakuna kilichofanyika awamu hii pamoja na kutoa maneno yenye kutaka kuleta na kujenga hofu kwa watanzania kwa taarifa na takwimu zisizo na ukweli wala uhalisia wa aina yoyote ile.

Amekuwa akijifanya kuzunguka zunguka kumshambulia waziri wa Fedha Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba. Lakini kiuhalisia huwa anamrenga Rais Samia kutaka kumchafua yeye binafsi pamoja na serikali yake.

Lengo lake ni kutamani kumuangusha au kumuondolea Imani aliyojijengea kwa watanzania, inayotokana na uchapakazi wake uliotukuka na uliogusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti ambao sasa wana sauti na nguvu katika Maisha yao ya kila siku.

Soma Pia: Luhaga Mpina: Wanaomsifia Rais Samia ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu

Kinachomsumbua Luhaga Mpina ni Ukabila na chuki binafsi aliyo nayo na iliyomjaa kifuani pake zidi ya Rais Wetu. Ni mtu ambaye alitamani kutokuona Rais wetu na Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan akiapishwa na akikalia kiti cha Urais kuongoza Taifa hili.

Kama angekuwa na uwezo wa aina yoyote ile pengine angepindua hadi maelekezo na matakwa ya katiba yetu ili tu Mama yetu asiwe Rais. Ni mtu ambaye ana hasira kubwa sana hasa anapoona Rais wetu anaendelea kupata uungwaji mkono pamoja na kuendelea kukubalika,kupendwa na kupongezwa sana na watanzania kwa kazi kubwa aliyoifanya ndani ya muda mfupi.

Ndio Maana kwa hasira , Ukabila na chuki zake binafsi alizonazo anaamua kutafutiza na kuunganisha vitakwimu vya uongo ili kujaribu kumchafua RAIS wetu. Bila kujua kuwa Watanzania siyo mambumbumbu wala mazuzu.

Kwa sababu kila mtanzania anafahamu ya kuwa miradi mikubwa na ya kimkakati kama vile Bwawa la Mwalimu Nyerere liliachwa na Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli likiwa 34% lakini kwa sasa limekamilika na lipo tayari kwa uzalishaji wa umeme wa takribani megawati 2115.

Mradi wa SGR ulikuwa ndio unaanza wakati wa Hayati Dkt John Magufuli lakini kwa sasa watu wanasafiri utafikiri wapo ulaya kutoka Dar es salaam hadi Dodoma ndani ya muda mfupi sana. Watu wanatambua mikoa mbalimbali ilikuwa haijaunganishwa katika Grid ya Taifa lakini sasa imeunganishwa.

Watanzania wanatambua ni Rais Samia ambaye amepandisha mapato ya TRA bila kukimbizana na kushikiana mitutu ya bunduki katika kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa tangia kupata uhuru wa Taifa letu. Ni Rais Samia kwa juhudi zake kupitia Royal Tour Amepelekea watalii kuongezeka na kufikia Millioni 1.8 na hivyo kuongeza mapato maradufu.

Rais Samia ameongeza Bajeti ya kilimo kutoka Billioni 250 na sasa ni zaidi ya Trilioni moja. Jambo ambalo limegusa maisha ya watanzania moja kwa moja hasa kwa kuzingatia kuwa watanzania wengi ni wakulima na hivyo ukiinua kilimo unakuwa umewainua mamilioni ya watanzania. Hapo hapo ikumbukwe Mama amekuwa akitoa Mabilioni ya pesa kama Ruzuku katika kilimo hususan pembejeo hasa mbolea. Jambo lililopelekea mbolea kuwa na bei ambayo mwananchi anaweza kuimudu.

Rais Samia ni yeye ambaye anatoa zaidi ya Bilioni 33 kila mwezi kama Ruzuku kwa ajili ya kugharamia Elimu bure ili watoto wote hadi wa maskini wapate Elimu na kutimiza ndoto zao. Ni Mama huyu huyu ambaye amefikisha zaidi ya Billion mia 7 bejeti ya Elimu ya juu kwa ajili ya kuwakopesha wanafunzi wa vyuo ili wapate Elimu na hapo bado sijazungumzia Elfu kumi ambayo wanavyuo wana pata kama pesa ya kujikimu kila siku..

Ni Mama huyu huyu ambaye amewapandisha madaraja na kuwaongeza mishahara na nyongeza ya kila mwaka watumishi wa umma wote hapa Nchini.ambao Awali walisota na kuona ajira na utumishi wa umma ni kama adhabu na utumwa. Lakini leo wana morali ya kufanya kazi na kuwahudumia watanzania kwa upendo na ukarimu wafikao katika ofisi za umma kupata huduma.

Ni Rais Samia huyu huyu ambaye mara baada ya kuingia tu madarakani alianza kumwaga ajira kwa vijana maelfu kwa maelfu ambazo hapo Awali ilikuwa ni kizungumkuti. Na kupelekea vijana wengi kuishi mitaani pasipo Matumaini zaidi ya kujikatia tamaa tu. Hata hivi sasa kuna ajira zaidi ya elfu 14 za ualimu zinasubiri vijana ili wakalitumikie Taifa lao baada ya kukamilika kwa usaili unaoendelea mikoani kwote na hapo sijazungumzia na zile ajira za afya.

Rais Samia amefanya mambo mengi sana ambayo siwezi kuyamaliza kuyataja hapa. Hii ndio maana hata CCM kwa kutambua uchapakazi wa Mama yetu imeamua kumpitisha Mama kuwa Mgombea pekee wa CCM atakaye peperusha bendera katika uchaguzi Mkuu wa hapo baadaye mwishoni mwa mwaka huu wa 2025.

Hili jambo ndilo lililomuumiza sana Mpina ambaye amejaa ukabila na chuki binafsi tu kwa Rais wetu. Embu muangalie hapa chini alivyokosa raha wakati wenzake wote wanashangilia pale ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma wakati wa mkutano mkuu maalumu uliompitisha Mama kugombea Urais

Yeye alishindwa hata kuvaa tu sare za chama na akaamua kuingia ukumbini utafikiri mvamizi wa kikao. Embu muangalie hapa ndio muelewe hiki ninachowaambieni.👎View attachment 3220283

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Katika yote uliyoandika sijaona wapi hoja ya ukabila inakuja?

Pili sijui wewe ni mwanasiasa wa wapi. Unataka kugombea ubunge wakati yupo mbunge tena wa CCM, unajua maana yake? Yaani unamsagia chawa ili wewe upite. Sasa kama hiyo ndio siasa. Kuna shida gani mpina akimsagia chawa Madelu?
 
Mimi siyo chawa ndugu yangu mtanzania uliyejaa msongo wa Mawazo na chuki binafsi
Kama sio chawa ni nani basi?

Ambaye kwenye nyeupe unalazimisha watu waone nyeusi,,na nyekundu iwe kijani,,

Wacha legacy ijiongelee yenyewe..
 
Mpina ji Mzalendo na mwana mapinduzi halisi wa nchi yetu - Hoja zake zimeshiba na ni za kweli na ni lazima zipewe support na mwananchi yeyete mwenye uchungu na raslimali za nchi gg,,yetu.

Mpina Oyeeeee!!
Mpina hana uzalendo wowote ule. Ni miongoni Mwa Mawaziri walifanya hovyo sana wakati wake.
 
Back
Top Bottom