Kinachomsumbua Luhaga Mpina ni ukabila na chuki binafsi kwa Rais Samia

Lucas sometimes punguza upuuzi na upumbavu.. Punguza mahaba kwa mtu na zingatia zaidi masilahi ya Taifa..
Kwani nani kakwambia naandika kwa ajili ya maslahi ya mtu binafsi? Mimi ni mzalendo kwa Taifa langu
 
Ndugu zangu Watanzania,

Msishangae Kwanini Luhaga Mpina Amekuwa akitoa taarifa za uzushi,uongo na uchonganishi mara kwa mara. Nyote ni mashahidi wa namna ambavyo amekuwa akitoa taarifa kuonyesha kana kwamba hakuna kilichofanyika awamu hii pamoja na kutoa maneno yenye kutaka kuleta na kujenga hofu kwa watanzania kwa taarifa na takwimu zisizo na ukweli wala uhalisia wa aina yoyote ile.

Amekuwa akijifanya kuzunguka zunguka kumshambulia waziri wa Fedha Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba. Lakini kiuhalisia huwa anamrenga Rais Samia kutaka kumchafua yeye binafsi pamoja na serikali yake.

Lengo lake ni kutamani kumuangusha au kumuondolea Imani aliyojijengea kwa watanzania, inayotokana na uchapakazi wake uliotukuka na uliogusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti ambao sasa wana sauti na nguvu katika Maisha yao ya kila siku.

Kinachomsumbua Luhaga Mpina ni Ukabila na chuki binafsi aliyo nayo na iliyomjaa kifuani pake zidi ya Rais Wetu. Ni mtu ambaye alitamani kutokuona Rais wetu na Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan akiapishwa na akikalia kiti cha Urais kuongoza Taifa hili.

Kama angekuwa na uwezo wa aina yoyote ile pengine angepindua hadi maelekezo na matakwa ya katiba yetu ili tu Mama yetu asiwe Rais. Ni mtu ambaye ana hasira kubwa sana hasa anapoona Rais wetu anaendelea kupata uungwaji mkono pamoja na kuendelea kukubalika,kupendwa na kupongezwa sana na watanzania kwa kazi kubwa aliyoifanya ndani ya muda mfupi.

Ndio Maana kwa hasira , Ukabila na chuki zake binafsi alizonazo anaamua kutafutiza na kuunganisha vitakwimu vya uongo ili kujaribu kumchafua RAIS wetu. Bila kujua kuwa Watanzania siyo mambumbumbu wala mazuzu.

Kwa sababu kila mtanzania anafahamu ya kuwa miradi mikubwa na ya kimkakati kama vile Bwawa la Mwalimu Nyerere liliachwa na Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli likiwa 34% lakini kwa sasa limekamilika na lipo tayari kwa uzalishaji wa umeme wa takribani megawati 2115.

Mradi wa SGR ulikuwa ndio unaanza wakati wa Hayati Dkt John Magufuli lakini kwa sasa watu wanasafiri utafikiri wapo ulaya kutoka Dar es salaam hadi Dodoma ndani ya muda mfupi sana. Watu wanatambua mikoa mbalimbali ilikuwa haijaunganishwa katika Grid ya Taifa lakini sasa imeunganishwa.

Watanzania wanatambua ni Rais Samia ambaye amepandisha mapato ya TRA bila kukimbizana na kushikiana mitutu ya bunduki katika kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa tangia kupata uhuru wa Taifa letu. Ni Rais Samia kwa juhudi zake kupitia Royal Tour Amepelekea watalii kuongezeka na kufikia Millioni 1.8 na hivyo kuongeza mapato maradufu.

Rais Samia ameongeza Bajeti ya kilimo kutoka Billioni 250 na sasa ni zaidi ya Trilioni moja. Jambo ambalo limegusa maisha ya watanzania moja kwa moja hasa kwa kuzingatia kuwa watanzania wengi ni wakulima na hivyo ukiinua kilimo unakuwa umewainua mamilioni ya watanzania. Hapo hapo ikumbukwe Mama amekuwa akitoa Mabilioni ya pesa kama Ruzuku katika kilimo hususan pembejeo hasa mbolea. Jambo lililopelekea mbolea kuwa na bei ambayo mwananchi anaweza kuimudu.

Rais Samia ni yeye ambaye anatoa zaidi ya Bilioni 33 kila mwezi kama Ruzuku kwa ajili ya kugharamia Elimu bure ili watoto wote hadi wa maskini wapate Elimu na kutimiza ndoto zao. Ni Mama huyu huyu ambaye amefikisha zaidi ya Billion mia 7 bejeti ya Elimu ya juu kwa ajili ya kuwakopesha wanafunzi wa vyuo ili wapate Elimu na hapo bado sijazungumzia Elfu kumi ambayo wanavyuo wana pata kama pesa ya kujikimu kila siku..

Ni Mama huyu huyu ambaye amewapandisha madaraja na kuwaongeza mishahara na nyongeza ya kila mwaka watumishi wa umma wote hapa Nchini.ambao Awali walisota na kuona ajira na utumishi wa umma ni kama adhabu na utumwa. Lakini leo wana morali ya kufanya kazi na kuwahudumia watanzania kwa upendo na ukarimu wafikao katika ofisi za umma kupata huduma.

Ni Rais Samia huyu huyu ambaye mara baada ya kuingia tu madarakani alianza kumwaga ajira kwa vijana maelfu kwa maelfu ambazo hapo Awali ilikuwa ni kizungumkuti. Na kupelekea vijana wengi kuishi mitaani pasipo Matumaini zaidi ya kujikatia tamaa tu. Hata hivi sasa kuna ajira zaidi ya elfu 14 za ualimu zinasubiri vijana ili wakalitumikie Taifa lao baada ya kukamilika kwa usaili unaoendelea mikoani kwote na hapo sijazungumzia na zile ajira za afya.

Rais Samia amefanya mambo mengi sana ambayo siwezi kuyamaliza kuyataja hapa. Hii ndio maana hata CCM kwa kutambua uchapakazi wa Mama yetu imeamua kumpitisha Mama kuwa Mgombea pekee wa CCM atakaye peperusha bendera katika uchaguzi Mkuu wa hapo baadaye mwishoni mwa mwaka huu wa 2025.

Hili jambo ndilo lililomuumiza sana Mpina ambaye amejaa ukabila na chuki binafsi tu kwa Rais wetu. Embu muangalie hapa chini alivyokosa raha wakati wenzake wote wanashangilia pale ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma wakati wa mkutano mkuu maalumu uliompitisha Mama kugombea Urais

Yeye alishindwa hata kuvaa tu sare za chama na akaamua kuingia ukumbini utafikiri mvamizi wa kikao. Embu muangalie hapa ndio muelewe hiki ninachowaambieni.👎View attachment 3220283

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe ni chawa! Chawa! Chawa! Unaandika gazeti ukidhani kuna mtu wa kupoteza muda kusoma nnnyaaa yako! Mxiuuuh!
 
Hopeless skinny hungry nigga...chawa! Kwenye ubora wake.
 
Soma Pia: Luhaga Mpina: Wanaomsifia Rais Samia ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu

basi sawa
Tuma salamu kwa watu wawili

basi sawa, tuma salamu kwa watu wawili
 
Wewe kijana ni hasara kwa familia yako, na Taifa kwa ujumla. Yaani ukipewa kazi ya kulamba miguu ya watu, unapitiliza na kuing'a na kabisa.
 
Sikiliza Kwa makini Hoja za MPINA Kisha ingia Ndani somaa ,Tafuta uhakika wa taarifa za MPINA Kisha njooo umpinge .

Hivi Kwa akili ya kawaida kabisa , unadhan MPINA anapata wapi taarifa nyeti kama hizo??.
 
Lucas sometimes punguza upuuzi na upumbavu.. Punguza mahaba kwa mtu na zingatia zaidi masilahi ya Taifa..

Hawa ndio wale wanaosababisha ugaidi .

Unajua magaidi mara nyingi ni wajinga wenye mahaba na utawala fulani utafikiri bila wanachokishabikia ndicho kinachowapa hewa ya oksijeni.

Yaani huyu Lucas hana tofauti na chakula kilichotumika tumboni .
Anamtuliza binadamu kuliko Mungu.

Yaani utafikiri bila huyo Rais ambaye hataki hata huo urais analazimishiwa tu na Watanganyika wapenda rushwaa kwa sababu wamepata uchochoro wa kupiga pesa maana mama wa watu hajawahi hata kuchukua fomu za kugombea urais kwa sababu hana maono na hajui chochote kuhusu matakwimu aliyokua anayaonyesha Mpina . Yaani ripoti ya mpina ina data halafu mtu analeta siasa .
Huyo mama wanasema aendelee mpaka 2035 lakini CCM iachokwa mpaka na vyombo vya dola na kitakachofuata ni kupotea kabisa kwa hicho chama kwenye historia . Yaani ni aibu kubwa sana kwa kijana wa kitanzania kuwa chawa dhidi ya uzalendo. Hali hii itampa wakati mgumu sana huko Mbeleni kwa sababu ni wazi kuwa Vijana wa kitanzania wasio na vyama ni zaidi ya mil 28 na wengi hawaridhishwi na ukuaji wa uchumi ,matumizi ya fedha za umma na suala la ajira .

Hivi rais mwenye uchungu na Watanganyika anaweza akamuacha Chalamila kwenye ofisi ya umma mpaka leo.? Hiyo si dharau,chuki kubwa na kuwaona Watanganyika ni kama nyani tu ?. Huyo ndiye rais anayependwa na watanzania au Wataka giza kama Lucas.?

Aibu kubwa sana kwa kijana wa kitanzania mwenye akili za kiintarahamwe.
 
Oyaaa sometimes uache Ukuma, Sikiliza Kwa makini Hoja za MPINA Kisha ingia Ndani somaa ,Tafuta uhakika wa taarifa za MPINA Kisha njooo umpinge .

Hivi Kwa akili ya kawaida kabisa , unadhan MPINA anapata wapi taarifa nyeti kama hizo??.
Kwanini unatukana matusi? Wewe ni mgonjwa wa akili? umechangayikiwa?
 
Umewahi kusoma habari za Galileo? Au wewe ukweli unapima kwa kuangalia wangapi wapo upande wa hoja fulani?
nmesoma hadi na yule GALIJANA ila pia kwenye wengi sometimes kuna mantiki coz uksema bi kizimkaz anapendwa na wa tz walio wengi xi kweli. fanya research kwanza
 
Ndugu zangu Watanzania,

Msishangae Kwanini Luhaga Mpina Amekuwa akitoa taarifa za uzushi,uongo na uchonganishi mara kwa mara. Nyote ni mashahidi wa namna ambavyo amekuwa akitoa taarifa kuonyesha kana kwamba hakuna kilichofanyika awamu hii pamoja na kutoa maneno yenye kutaka kuleta na kujenga hofu kwa watanzania kwa taarifa na takwimu zisizo na ukweli wala uhalisia wa aina yoyote ile.

Amekuwa akijifanya kuzunguka zunguka kumshambulia waziri wa Fedha Mheshimiwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba. Lakini kiuhalisia huwa anamrenga Rais Samia kutaka kumchafua yeye binafsi pamoja na serikali yake.

Lengo lake ni kutamani kumuangusha au kumuondolea Imani aliyojijengea kwa watanzania, inayotokana na uchapakazi wake uliotukuka na uliogusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti ambao sasa wana sauti na nguvu katika Maisha yao ya kila siku.

Soma Pia: Luhaga Mpina: Wanaomsifia Rais Samia ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu

Kinachomsumbua Luhaga Mpina ni Ukabila na chuki binafsi aliyo nayo na iliyomjaa kifuani pake zidi ya Rais Wetu. Ni mtu ambaye alitamani kutokuona Rais wetu na Mama yetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan akiapishwa na akikalia kiti cha Urais kuongoza Taifa hili.

Kama angekuwa na uwezo wa aina yoyote ile pengine angepindua hadi maelekezo na matakwa ya katiba yetu ili tu Mama yetu asiwe Rais. Ni mtu ambaye ana hasira kubwa sana hasa anapoona Rais wetu anaendelea kupata uungwaji mkono pamoja na kuendelea kukubalika,kupendwa na kupongezwa sana na watanzania kwa kazi kubwa aliyoifanya ndani ya muda mfupi.

Ndio Maana kwa hasira , Ukabila na chuki zake binafsi alizonazo anaamua kutafutiza na kuunganisha vitakwimu vya uongo ili kujaribu kumchafua RAIS wetu. Bila kujua kuwa Watanzania siyo mambumbumbu wala mazuzu.

Kwa sababu kila mtanzania anafahamu ya kuwa miradi mikubwa na ya kimkakati kama vile Bwawa la Mwalimu Nyerere liliachwa na Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli likiwa 34% lakini kwa sasa limekamilika na lipo tayari kwa uzalishaji wa umeme wa takribani megawati 2115.

Mradi wa SGR ulikuwa ndio unaanza wakati wa Hayati Dkt John Magufuli lakini kwa sasa watu wanasafiri utafikiri wapo ulaya kutoka Dar es salaam hadi Dodoma ndani ya muda mfupi sana. Watu wanatambua mikoa mbalimbali ilikuwa haijaunganishwa katika Grid ya Taifa lakini sasa imeunganishwa.

Watanzania wanatambua ni Rais Samia ambaye amepandisha mapato ya TRA bila kukimbizana na kushikiana mitutu ya bunduki katika kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa tangia kupata uhuru wa Taifa letu. Ni Rais Samia kwa juhudi zake kupitia Royal Tour Amepelekea watalii kuongezeka na kufikia Millioni 1.8 na hivyo kuongeza mapato maradufu.

Rais Samia ameongeza Bajeti ya kilimo kutoka Billioni 250 na sasa ni zaidi ya Trilioni moja. Jambo ambalo limegusa maisha ya watanzania moja kwa moja hasa kwa kuzingatia kuwa watanzania wengi ni wakulima na hivyo ukiinua kilimo unakuwa umewainua mamilioni ya watanzania. Hapo hapo ikumbukwe Mama amekuwa akitoa Mabilioni ya pesa kama Ruzuku katika kilimo hususan pembejeo hasa mbolea. Jambo lililopelekea mbolea kuwa na bei ambayo mwananchi anaweza kuimudu.

Rais Samia ni yeye ambaye anatoa zaidi ya Bilioni 33 kila mwezi kama Ruzuku kwa ajili ya kugharamia Elimu bure ili watoto wote hadi wa maskini wapate Elimu na kutimiza ndoto zao. Ni Mama huyu huyu ambaye amefikisha zaidi ya Billion mia 7 bejeti ya Elimu ya juu kwa ajili ya kuwakopesha wanafunzi wa vyuo ili wapate Elimu na hapo bado sijazungumzia Elfu kumi ambayo wanavyuo wana pata kama pesa ya kujikimu kila siku..

Ni Mama huyu huyu ambaye amewapandisha madaraja na kuwaongeza mishahara na nyongeza ya kila mwaka watumishi wa umma wote hapa Nchini.ambao Awali walisota na kuona ajira na utumishi wa umma ni kama adhabu na utumwa. Lakini leo wana morali ya kufanya kazi na kuwahudumia watanzania kwa upendo na ukarimu wafikao katika ofisi za umma kupata huduma.

Ni Rais Samia huyu huyu ambaye mara baada ya kuingia tu madarakani alianza kumwaga ajira kwa vijana maelfu kwa maelfu ambazo hapo Awali ilikuwa ni kizungumkuti. Na kupelekea vijana wengi kuishi mitaani pasipo Matumaini zaidi ya kujikatia tamaa tu. Hata hivi sasa kuna ajira zaidi ya elfu 14 za ualimu zinasubiri vijana ili wakalitumikie Taifa lao baada ya kukamilika kwa usaili unaoendelea mikoani kwote na hapo sijazungumzia na zile ajira za afya.

Rais Samia amefanya mambo mengi sana ambayo siwezi kuyamaliza kuyataja hapa. Hii ndio maana hata CCM kwa kutambua uchapakazi wa Mama yetu imeamua kumpitisha Mama kuwa Mgombea pekee wa CCM atakaye peperusha bendera katika uchaguzi Mkuu wa hapo baadaye mwishoni mwa mwaka huu wa 2025.

Hili jambo ndilo lililomuumiza sana Mpina ambaye amejaa ukabila na chuki binafsi tu kwa Rais wetu. Embu muangalie hapa chini alivyokosa raha wakati wenzake wote wanashangilia pale ukumbi wa Jakaya Kikwete Dodoma wakati wa mkutano mkuu maalumu uliompitisha Mama kugombea Urais

Yeye alishindwa hata kuvaa tu sare za chama na akaamua kuingia ukumbini utafikiri mvamizi wa kikao. Embu muangalie hapa ndio muelewe hiki ninachowaambieni.👎View attachment 3220283

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe ushaamua kugeuza kichwa kifuniko cha shingo.

Hujawahi hata kujua shida wanazopitia wananchi, tarumbeta mda wote tu.

Tushushe kwanza.
 
nmesoma hadi na yule GALIJANA ila pia kwenye wengi sometimes kuna mantiki coz uksema bi kizimkaz anapendwa na wa tz walio wengi xi kweli. fanya research kwanza
Rais Samia anapendwa sana tena sana na watanzania. Ni kiongozi ambaye amefanikiwa kuiteka mioyo ya mamilioni ya watanzania
 
Back
Top Bottom