Sasa hivi Rayn Reynolds actor wa kwenye Deadpool na yeye ana documentary yake hapo NAT GEO inaitwa Underdogs, kwa jinsi anavyoelezea tabia, maisha na kila kitu kuhusu wanyama ni full comedy.Ile ni taaluma kabisa.. wenyewe wanaitwa Voice artists... inabidi wawe wabunifu asee
Underdogs nimei watch.. sikuwahi jua kama ni huyo mdau🤣🤣. Thanks sana kwa kunijuza... hii documentary naikubali sana.Sasa hivi Rayn Reynolds actor wa kwenye Deadpool na yeye ana documentary yake hapo NAT GEO inaitwa Underdogs, kwa jinsi anavyoelezea tabia, maisha na kila kitu kuhusu wanyama ni full comedy.
Ana lisauti lake fulani hivi kama mzee wetu Tyson wa kule kanda maalum.Huyo ni legend asee
Upo kama mimi huyu mama ana English ya Scottish accent noma sana namkubali hasa yale matangazo yake hatari ,pia napenda usimulizi wa wale jamaa unawaelewa wanyama zaidi na unakuwa kama uko nao tangu zamaniView attachment 3417937
Kwa sisi ambao ni wapenzi wa kutazama documentaries hususani za Wanyama na investigation documentaries kwenye hii channel ya natgeo, ni wale wasimuliaji wake wa matukio.. nawakubali sana.
Mmojawapo ni huyu mama kwa jina Amanda alexander. Ana sauti ya kipekee sana.
View attachment 3417939
Bonge moja la msimuliaji sauti ya kuvutia sana Scottish accentAna lisauti lake fulani hivi kama mzee wetu Tyson wa kule kanda maalum.