Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
Kumbe unamjua huyu mzee mkuu.Bonge moja la msimuliaji sauti ya kuvutia sana Scottish accent
USSR
Kumbe unamjua huyu mzee mkuu.Bonge moja la msimuliaji sauti ya kuvutia sana Scottish accent
USSR
TV umeuzaUngeweka na kasauti kake tuthibitishe
Hiyo ni channel mkuu siyo kipindiNatgeo ni kipindi nachokipenda sana hao ni Watangazaji wa ukweli.
Si umetajiwa channel ni NAT GEO WILD.... kwenye king'amuzi Cha Azam tv channel namba 501 na dstv channel namba 182Taja inapatikana channel gani wapi na wapi ili na wengine waone
😁😆David Attenborough ndo kiboko.
Anasimulia mpaka unatoka udendaa 🤩🤩🤩
Kwa sisi MAZEZETA tunaomwaga udenda muda wote ndo tunachanganyikiwa kabisa.
Cc: Extrovert dronedrake Busu la Kenge
Kwenye DSTV ni chanel kamili, masaa 24,Si umetajiwa channel ni NAT GEO WILD.... kwenye king'amuzi Cha Azam tv channel namba 501 na dstv channel namba 182
Chanel kama ilivyo TBC au UTVKwenye DSTV ni chanel kamili, masaa 24,
Azam nako ni kipindi au ni channel kamili.?
Ok sawa mkuu hiyo Chanel ina vipindi gani..Hiyo ni channel mkuu siyo kipindi
Kabisa yaani. Wako vizuri snaUpo kama mimi huyu mama ana English ya Scottish accent noma sana namkubali hasa yale matangazo yake hatari ,pia napenda usimulizi wa wale jamaa unawaelewa wanyama zaidi na unakuwa kama uko nao tangu zamani
USSR
Naizingatia hii . Nitafanya hivyoAisee kumbe tupo wengi ambao tunapenda hiyo channel ya NAT Geo wild, mtoa mada angalia kiipindi kinaitwa SALVAGE KINGDOM utakuja kunishukuru baadae na msimuliaji wake Bora CHARLES DANCE huyu Mzee ndiyo anaongoza Kwa utangazaji wake mahiri pamoja misemo yake Fulani ya kunogesha mada.
Kumbuka huyu Mzee anacheza na movie pia ikiwemo series Bora ya mwaka Jana ya THE DAY OF THE JACKAL (angalia hii series utamwona huyu Mzee).
Charles dance ndiyo msimuliaji Bora wa hiyo channel View attachment 3418030
Nimetajiwa au ndo unanitajiaSi umetajiwa channel ni NAT GEO WILD.... kwenye king'amuzi Cha Azam tv channel namba 501 na dstv channel namba 182
Nimekutajia madamNimetajiwa au ndo unanitajia