cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Yaani hakuna kitu kinachonikera Mimi binafsi sijui wanawake wengine ni kutongozwa asubuhi
Tena mbaya zaidi unakutana na mwanaume asubuhi unatoka dukani anaanza kukutongoza huwa nachukia balaa
Au unaamka tu wakati unaswaki unaletewa taarifa kuna mtu anakuita getini ,kwenda unasikia anaanza stories za kukutongoza,dah huwa najisikia vibaya mpaka basi bora wa kunitongoza kwa njia ya sim au SMS maana najijua stajibu
Huwa nakuwa makini kusikiliza mitongozo yake pale utakapo nitoa out hasa jioni kuanzia SAA 12 hadi SAA mbili,na ukanipa dinner inayoeleweka ,wakati nakula unaniambia hizo stories,hapo huwa nipo makini kukusikiliza na sio kwamba ndo nimekukubalia ,kukubalia ni suala lingine
Na ili uonekane upo serious,vizawadi vikiwa vingi hapo utakuwa umeanza kuingia moyoni
Mambo mengine hayahitaji uingie darasani bwana!!!
Acheni mambo ya kututongoza asubuhi,tunachukia sana