Kinachonikera Mimi mwanamke ni mitongozo ya asubuhi

Tunachukia au ninachukia maana usichokipenda wewe siyo lazima kichukiwe na maduu wengine..
 
Mnatongozwa asubuhi sababu ya vile mnavyojiweka...

Unakuta mwanamke anajijua yupo vizuri alafu asubuhi asubuhi na vinguo vya uchokozi kwa nini usitongozwe...

Cc: mahondaw
 
Mmmh hapa kuna Agenda ya siri.. Unamtafuta wa kukutoa dinner¿
 
Yaani hakuna kitu kinachonikera Mimi binafsi sijui wanawake wengine ni kutongozwa asubuhi

Tena mbaya zaidi unakutana na mwanaume asubuhi unatoka dukani anaanza kukutongoza huwa nachukia balaa

Au unaamka tu wakati unaswaki unaletewa taarifa kuna mtu anakuita getini ,kwenda unasikia anaanza stories za kukutongoza,dah huwa najisikia vibaya mpaka basi bora wa kunitongoza kwa njia ya sim au SMS maana najijua stajibu

Huwa nakuwa makini kusikiliza mitongozo yake pale utakapo nitoa out hasa jioni kuanzia SAA 12 hadi SAA mbili,na ukanipa dinner inayoeleweka ,wakati nakula unaniambia hizo stories,hapo huwa nipo makini kukusikiliza na sio kwamba ndo nimekukubalia ,kukubalia ni suala lingine

Na ili uonekane upo serious,vizawadi vikiwa vingi hapo utakuwa umeanza kuingia moyoni

Mambo mengine hayahitaji uingie darasani bwana!!!

Acheni mambo ya kututongoza asubuhi,tunachukia sana
Haya nakuja pm.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtongozo lazima uambatanishwe na viambatanisho bwana.
 
Utakuwa unajirahisisha sana so wanaokutokea wote wanaamini wewe ni maharage ya mbeya ....
 
chambo ziwe nyingi ili samaki avulie😉😉😉😉😉
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtongozo lazima uambatanishwe na viambatanisho bwana.
 
Yaani upelekwe out ,upewe dinner nzito + muda mtu aliopoteza...
Hivi wanaume wengine wanakwama wapi?
Mbona wengine tunapata pisi kali kali kitaa bila upuuzi wote huo..

Tena unaweza kukuta mtoa maada hana hata chura na anataka zawadi..
Sasa zawadi ya nini wakati huna chura??
Hahaa ha haa
 
Wauza K inaonekana siku hizi kwenye madanguro hapalipi tena mmekuja na altenative nyingine.
Hivi usawa huu badala ya ninunue bati na nondo eti nianze kukutoa out ili unisokilize vizur wakati mtaani unatongoza asubuhi jion unapata papa.
Haha ..dah !!! Jf manina
 
Ha
Yaani upelekwe out ,upewe dinner nzito + muda mtu aliopoteza...
Hivi wanaume wengine wanakwama wapi?
Mbona wengine tunapata pisi kali kali kitaa bila upuuzi wote huo..

Tena unaweza kukuta mtoa maada hana hata chura na anataka zawadi..
Sasa zawadi ya nini wakati huna chura??
Hahaha!
 
Ivi huna mambo mengine ya msingi..
Yaani hakuna kitu kinachonikera Mimi binafsi sijui wanawake wengine ni kutongozwa asubuhi

Tena mbaya zaidi unakutana na mwanaume asubuhi unatoka dukani anaanza kukutongoza huwa nachukia balaa

Au unaamka tu wakati unaswaki unaletewa taarifa kuna mtu anakuita getini ,kwenda unasikia anaanza stories za kukutongoza,dah huwa najisikia vibaya mpaka basi bora wa kunitongoza kwa njia ya sim au SMS maana najijua stajibu

Huwa nakuwa makini kusikiliza mitongozo yake pale utakapo nitoa out hasa jioni kuanzia SAA 12 hadi SAA mbili,na ukanipa dinner inayoeleweka ,wakati nakula unaniambia hizo stories,hapo huwa nipo makini kukusikiliza na sio kwamba ndo nimekukubalia ,kukubalia ni suala lingine

Na ili uonekane upo serious,vizawadi vikiwa vingi hapo utakuwa umeanza kuingia moyoni

Mambo mengine hayahitaji uingie darasani bwana!!!

Acheni mambo ya kututongoza asubuhi,tunachukia sana
 
hakuna MUDA maaluma wa kutongoza, hiyo ni SAA, dakika na sekunde yeyote, ila huko kwenye zawadi mhhhhh kukubaliwa kwa wingi WA zawadi doh!
 
Back
Top Bottom