Kinachonikera Mimi mwanamke ni mitongozo ya asubuhi

Yaani upelekwe out ,upewe dinner nzito + muda mtu aliopoteza...
Hivi wanaume wengine wanakwama wapi?
Mbona wengine tunapata pisi kali kali kitaa bila upuuzi wote huo..

Tena unaweza kukuta mtoa maada hana hata chura na anataka zawadi..
Sasa zawadi ya nini wakati huna chura??
 
[emoji23][emoji23][emoji23] alaaaah kumbeeeer
 
Kutongoza hakuna formula jamani
 
Ungekuwa umeolewa jamaa asingekuja getini, ila kwa kuwa bado uko single ngoja vjana wajaribu,

Vumilia bado uko fire,, ukifika 40 yrs mvuto utaisha na hutosombuliwa tena,
 
Tatizo we ni sista du,popote mutu anatongoza tu,monie,jioni,sasa unataka utongozwe saa ngapi?
Kwanza kesho ramadhani leo,tongozo mwisho.
Na ukifanya mchezo utakosa nguo za sikukuu,we lete mbwembwe tu.
 
cutelove ameleta ujumbe hapa usio wa moja kwa moja kwamba wale wote wanaomvamia chemba huko waache na watafute muda muafaka
 
Weekend hii itabidi nichukue hili jukumu la kwenda out nawe.
 
Tulia utongozwe mkuu jioni ni mida ya kula mzigo uliotongozwa asubuhi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…