enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Haya nakuja pm.Yaani hakuna kitu kinachonikera Mimi binafsi sijui wanawake wengine ni kutongozwa asubuhi
Tena mbaya zaidi unakutana na mwanaume asubuhi unatoka dukani anaanza kukutongoza huwa nachukia balaa
Au unaamka tu wakati unaswaki unaletewa taarifa kuna mtu anakuita getini ,kwenda unasikia anaanza stories za kukutongoza,dah huwa najisikia vibaya mpaka basi bora wa kunitongoza kwa njia ya sim au SMS maana najijua stajibu
Huwa nakuwa makini kusikiliza mitongozo yake pale utakapo nitoa out hasa jioni kuanzia SAA 12 hadi SAA mbili,na ukanipa dinner inayoeleweka ,wakati nakula unaniambia hizo stories,hapo huwa nipo makini kukusikiliza na sio kwamba ndo nimekukubalia ,kukubalia ni suala lingine
Na ili uonekane upo serious,vizawadi vikiwa vingi hapo utakuwa umeanza kuingia moyoni
Mambo mengine hayahitaji uingie darasani bwana!!!
Acheni mambo ya kututongoza asubuhi,tunachukia sana
chambo ziwe nyingi ili samaki avulie😉😉😉😉😉
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtongozo lazima uambatanishwe na viambatanisho bwana.
Hahaa ha haaYaani upelekwe out ,upewe dinner nzito + muda mtu aliopoteza...
Hivi wanaume wengine wanakwama wapi?
Mbona wengine tunapata pisi kali kali kitaa bila upuuzi wote huo..
Tena unaweza kukuta mtoa maada hana hata chura na anataka zawadi..
Sasa zawadi ya nini wakati huna chura??
Haha haa .... acc hii itakuwa ipo hackedTulia utongozwe mkuu jioni ni mida ya kula mzigo uliotongozwa asubuhi
Haha ..dah !!! Jf maninaWauza K inaonekana siku hizi kwenye madanguro hapalipi tena mmekuja na altenative nyingine.
Hivi usawa huu badala ya ninunue bati na nondo eti nianze kukutoa out ili unisokilize vizur wakati mtaani unatongoza asubuhi jion unapata papa.
Hahaha!Yaani upelekwe out ,upewe dinner nzito + muda mtu aliopoteza...
Hivi wanaume wengine wanakwama wapi?
Mbona wengine tunapata pisi kali kali kitaa bila upuuzi wote huo..
Tena unaweza kukuta mtoa maada hana hata chura na anataka zawadi..
Sasa zawadi ya nini wakati huna chura??
Yaani hakuna kitu kinachonikera Mimi binafsi sijui wanawake wengine ni kutongozwa asubuhi
Tena mbaya zaidi unakutana na mwanaume asubuhi unatoka dukani anaanza kukutongoza huwa nachukia balaa
Au unaamka tu wakati unaswaki unaletewa taarifa kuna mtu anakuita getini ,kwenda unasikia anaanza stories za kukutongoza,dah huwa najisikia vibaya mpaka basi bora wa kunitongoza kwa njia ya sim au SMS maana najijua stajibu
Huwa nakuwa makini kusikiliza mitongozo yake pale utakapo nitoa out hasa jioni kuanzia SAA 12 hadi SAA mbili,na ukanipa dinner inayoeleweka ,wakati nakula unaniambia hizo stories,hapo huwa nipo makini kukusikiliza na sio kwamba ndo nimekukubalia ,kukubalia ni suala lingine
Na ili uonekane upo serious,vizawadi vikiwa vingi hapo utakuwa umeanza kuingia moyoni
Mambo mengine hayahitaji uingie darasani bwana!!!
Acheni mambo ya kututongoza asubuhi,tunachukia sana
Morning of next day mpe breakfast umo umo moyoni alikoingia ili asitoke kabisa.Sawa nitakutoa dinner ili uingie moyoni