Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Vipi kama mtu alishakosea watu wakamjua je anaweza kuanza upya maishaUnapokuwa mbele ya coworker /workmate try to live like a commoner and play low KEY.
Katika kazi unabidi usjinge mazoea na WATU na sio kazini hata kwenye FAMILIA yako na mtaani ishi Kama stranger.
Hakikisha hawakujui una nini unamiliki nini au una mafanikio kiasi gani.
Yes inawezekana ila wakati unaanza upya iwe siri yako.Vipi kama mtu alishakosea watu wakamjua je anaweza kuanza upya maisha