kinachotokea kwa simba ndio kilichotokea kwa Liverpool,simba itasonga mbele.

Ladder 49

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
7,918
Reaction score
20,037
Wakuu Habari zenu?

Safari ya simba kwenye klabu bingwa Africa aina tofauti na Safari ya Liverpool uefa champions league.

Liverpool kwenye champions league msimu wa 2018/2019 ,walishinda mechi zote za nyumbani tu .mechi za ugenini zote walifungwa kwa kuzidiwa mechi kama na napoli hawakupata hata shot on target hata moja,pale nyumbani kwa napoli.

Liverpool alifanikiwa kuvuka kwenye makundi kwa kushika nafasi ya pili.

Simba na wao walishinda mechi za nyumbani zote na ugenini kufungwa kwa aibu lakini mwisho wa siku wakavuka kama ulivyokuwa kwa Liverpool

Kwa Liverpool mechi iliyofata alikutana na Bayern Munich hiyo mechi walianzia nyumbani kwa Liverpool yaani anfield pale mechi ikaisha sare ya bila ya kufungana goli.

Watu wakaongea kwamba Liverpool kwenye makundi mbona akushinda mechi yoyote ugenini,kwa hiyo Liverpool kule arianz arena atakufa vibaya sana, maana hawana uzoefu na ushindi wa mechi za ugenini ,na Bayern wako vizuri maana baada ya mapumziko ya December wamerudi vizuri sana ,watu wengi waliamini hivyo Liverpool Safari imewadia,kama nyumbani umeshindwa kumfunga utamfunga vipi kwake timu kubwa hiyo.

Mechi imechezwa alianz arena Bayern kafa pale alianz arena 1-3, watu wanashangaa tu.what?

Sasa ndio kinachotokea kwa simba,simba amepata sare bila ya goli mechi ya nyumbani watu wanasemA yale yale ya Liverpool eti hajawahi kushinda ugenini ,me naamini simba ananafasi ya kushinda .

Kama Liverpool alifanya kwa Bayern simba anashindwa vipi kwa tp mazembe?.kumbe kwenye mpira inawezekana.

Kilichotokea kwa simba ndio kimeshatokea kwa Liverpool uefa champions league msimu huu wa 2018/2019.

Ni hayo tu wakuu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwa uwezo Wa Simba hapo walipofika panatosha na wamejitahidi sana
 
Usifananishe mpira wa ulaya na Africa,

Liverpool wanawachezaj bora, je simba ni hivo?

Tp mazembe wanasema walikuja kutafuta sare, mazish wanaenda kufanya lubumbashi

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
 
Inawezekana kuwa upo sahihi kwa analysis...lakini unachokifahamu wewe na TP Mazembe nacho wanakifahamu kuwa hicho kinaweza kutokea, kwa hiyo watajiandaa...Hapo ndipo lilipo tatizo kwa Simba yetu 'tuipendayo'...To be fair Simba yetu upo uwezekano ikalala siyo chini ya bao 4-0...Ndivyo zilivyo timu za Kongo
 
ndugu usilinganishe klabu ya football (LFC) na magenge ya wachawi (Simba/Yanga).
 
Kagere alipiga tick tack mpira ukagonga mlingoti, Bocco alibaki yeye na goli kipa mara mbili zote akakosa na timu ikakosa penalt, unataka tupewe nini tena? Halafu unataka TP Mazembe tukawatoe wakiwa kwao kila rahisirahisi tu!

Tulikuwa na kila sababu ya kuimaliza hii robo fainali jana pale Taifa. Lubumbashi tutakuwa na kazi nzito sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Real Madrid alimpiga Ajax nyumbani kwake 2 Vs 1, ila Ajax alipindua matokeo bernabeu Santiago 4 Vs 1!

Hata Simba wenyewe waliwahi pigwa 4 bila na mfulira wonderers hapa bongo, walipoenda Zambia kibao kikageuka 5 bila Mufulira njeee!

PSG alishinda old toilet 2 bila kule Paris kwao wakapigwa 3 wakatupwa njee!

Hiyo ndiyo soka, Mpira ni dakika 90 lolote laweza kutokeaa,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asanteni kwa kushirikì mlitkiwa mtoke mapema tu sema uchawi na sumu mnazopūlizaga kipindi cha pili nđo zimewasaidia
 
Usifananishe mpira wa ulaya na Africa,

Liverpool wanawachezaj bora, je simba ni hivo?

Tp mazembe wanasema walikuja kutafuta sare, mazish wanaenda kufanya lubumbashi

'When you’ve been an Arsenal fan as a kid, you will be one your whole life in some way.” David Alaba
Kwanini asifananishe??kwani Simba anaenda kucheza na Bayern?si anaenda kucheza na wa huku huku Africa??

Kama Mazembe walisema walikuja kutafuta sare wakapata kuna tatizo gani tukisema tunaenda kushinda kwao??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kuwa upo sahihi kwa analysis...lakini unachokifahamu wewe na TP Mazembe nacho wanakifahamu kuwa hicho kinaweza kutokea, kwa hiyo watajiandaa...Hapo ndipo lilipo tatizo kwa Simba yetu 'tuipendayo'...To be fair Simba yetu upo uwezekano ikalala siyo chini ya bao 4-0...Ndivyo zilivyo timu za Kongo
Hakuna historia inayodumu hivyo hivyo milele,hata Marekani Siku moja itakuwa nchi ya kawaida tu hata kama itachukua miaka 2000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kagere alipiga tick tack mpira ukagonga mlingoti, Bocco alibaki yeye na goli kipa mara mbili zote akakosa na timu ikakosa penalt, unataka tupewe nini tena? Halafu unataka TP Mazembe tukawatoe wakiwa kwao kila rahisirahisi tu!

Tulikuwa na kila sababu ya kuimaliza hii robo fainali jana pale Taifa. Lubumbashi tutakuwa na kazi nzito sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,nilichokiona haikuwa Siku ya bahati,huwa inatokea,ingawa pia bado hatujafikia level ya nafasi moja bao moja

Lakini hii haitufanyi kukata tamaa,Simba inaweza kupata Matokeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli mchungu, laiti kama SSC ingekuwa inacheza mechi za nje kama inavyocheza nyumbani, ningeamini swala la kubadili matokeo ugenini lingewezekana. Lkn kwa mpira unaochezwa na simba ikiwa ugenini, hapana aisee nitakuwa wa mwisho kuamini kama SSC itapata matokeo mazuri ugenini.

This time hawana cha kupoteza,watacheza tu vile wewe unataka,ni kama dk zile za mwisho mechi na As Vita si uliona Simba walivyofunguka ki do or die?sasa huko Congo watafunguka ki jasho na damu Lubumbashi!;Utafurahi mwenyewe mjomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi unaenda kutimia yaani mwanzoni niliona kama utani ukweli tp mazembe watatolewa na hawataamini.
Na huu uzi niliusoma kabla ya game japo ni kama kaudit kwa sasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlituaminisha mnashinda 3_0 mkashindwa Leo tena namtaka mtuaminishe kwenda kushinda DRC mnataka tuwaamini?

Sema kwenye mpira kila mtu anapenda kbashili matokeo yanayo mtia moyo.
 
simba mtakandamizwa 5 bila adi mpoteane, pamoja na kubebwa kwa mbereko ya chuma na yule refa mwarabu lakini bado mkaangukia pua, bahati yenu msinge mhonga yule refaa sijui ingekuajeeee
 
Back
Top Bottom