Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 7,918
- 20,037
Wakuu Habari zenu?
Safari ya simba kwenye klabu bingwa Africa aina tofauti na Safari ya Liverpool uefa champions league.
Liverpool kwenye champions league msimu wa 2018/2019 ,walishinda mechi zote za nyumbani tu .mechi za ugenini zote walifungwa kwa kuzidiwa mechi kama na napoli hawakupata hata shot on target hata moja,pale nyumbani kwa napoli.
Liverpool alifanikiwa kuvuka kwenye makundi kwa kushika nafasi ya pili.
Simba na wao walishinda mechi za nyumbani zote na ugenini kufungwa kwa aibu lakini mwisho wa siku wakavuka kama ulivyokuwa kwa Liverpool
Kwa Liverpool mechi iliyofata alikutana na Bayern Munich hiyo mechi walianzia nyumbani kwa Liverpool yaani anfield pale mechi ikaisha sare ya bila ya kufungana goli.
Watu wakaongea kwamba Liverpool kwenye makundi mbona akushinda mechi yoyote ugenini,kwa hiyo Liverpool kule arianz arena atakufa vibaya sana, maana hawana uzoefu na ushindi wa mechi za ugenini ,na Bayern wako vizuri maana baada ya mapumziko ya December wamerudi vizuri sana ,watu wengi waliamini hivyo Liverpool Safari imewadia,kama nyumbani umeshindwa kumfunga utamfunga vipi kwake timu kubwa hiyo.
Mechi imechezwa alianz arena Bayern kafa pale alianz arena 1-3, watu wanashangaa tu.what?
Sasa ndio kinachotokea kwa simba,simba amepata sare bila ya goli mechi ya nyumbani watu wanasemA yale yale ya Liverpool eti hajawahi kushinda ugenini ,me naamini simba ananafasi ya kushinda .
Kama Liverpool alifanya kwa Bayern simba anashindwa vipi kwa tp mazembe?.kumbe kwenye mpira inawezekana.
Kilichotokea kwa simba ndio kimeshatokea kwa Liverpool uefa champions league msimu huu wa 2018/2019.
Ni hayo tu wakuu.
Sent from my iPhone using JamiiForums