Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Ustaarabu bado sana bongo. Hii nchi kila mtu anajipangia tu na kuweka frame kila sehemu. Nchi nzima imegeuka kuwa frames tu.
Njia pekee ni serikali au private sectors kudevelop neighborhoods/subdivision zikiwa zimekamilika na kuwauzia raia ili watu wasifanye ujenzi wanavyotaka wao. Kadhalika wapewe terms za nini na nini wanaweza kufanya au kutofanya kwenye hizo new subdivisions. Changamoto kubwa vipato bado vidogo watu kununua nyumba through mortgage, wamezoea kujenga kwa miaka 20 kwa kudunduliza.