Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Tanzania ni mshiriki wa jumuia kadhaa za kimataifa na kikanda.
Hivyo tumesaini mikataba kadhaa wa kadhaa kwa shinikizo la mabwana zetu.
Hao mabwana zetu ambao hugharamia Kila kitu tunapokwenda Congo, Sudan na kwingineko kulinda amani.
Pia kwa kufanya hivyo tunapokea misaada ya zana za kivita Ili kuimariaha jeshi letu na fedha pia.
Kwahiyo naomba nieleweke kuwa kinachowapeleka wanajeshi wetu Congo na kwingineko si upendo bali pesa.
Ni pesa tu hakuna kingine.
Pesa , pesa, pesa
Pesa Mungu anakuona.