Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Wapelekwe mawaziri na machawa akina mwijaku.Usiseme kwakuwa una mdomo.
Solution yako ni nini, wasiende? Tanzani tujitenge na jumuiya ya kimataifa?
Kwahiyo naomba nieleweke kuwa kinachowapeleka wanajeshi wetu Congo na kwingineko si upendo bali pesa.Tanzania ni mshiriki wa jumuia kadhaa za kimataifa na kikanda.
Hivyo tumesaini mikataba kadhaa wa kadhaa kwa shinikizo la mabwana zetu.
Hao mabwana zetu ambao hugharamia Kila kitu tunapokwenda Congo, Sudan na kwingineko kulinda amani.
Pia kwa kufanya hivyo tunapokea misaada ya zana za kivita Ili kuimariaha jeshi letu na fedha pia.
Kwahiyo naomba nieleweke kuwa kinachowapeleka wanajeshi wetu Congo na kwingineko si upendo bali pesa.
Ni pesa tu hakuna kingine.
Pesa , pesa, pesa
Pesa Mungu anakuona.
Wakitokaga naona wanafanyaga mambo makubwa kama kujenga mijengo na kununua ndinga kali.Sio wote usijumuieshe chambua kidogo kama uelewi kitu uliza ueleweshe utaratibu upoje?
Wangapi wanaonga?Hadi wanaonga kabisa kupata nafasi ya kwenda huko. Ni mpunga mrefu.
Nilisikia kupata nafasi ni ngumu sanaWalikata jina lako Nini ?
Ndo kazi waliyoitiwa. No way out lazma wahussle hukoCongo siyo Sudan , M23 wanatembeza kichapo kwelikweli hawatanii wale jamaa unaenda kwaajili ya pesa unarudi ukiwa unapigiwa saluti ndani ya jeneza