Kinachowaponza CHADEMA ni kukataa kuwa hili taifa lina wanyonge. Paul Makonda ndio anapitia hapo hapo na kuwamaliza

Wanyonge wapo tena ndio wengi Nji hii !
Jamaa huwa wanashindwa kudance according to the tunes !
Hiyo ndio shida yao !
Kwenye siasa hakuna adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu !🙏
 
CCM ya zama zile za akina Slaa ilikuwa karibu na wanyonge na ndiyo maana ilipats support ya dala dala,mama ntilie, nk na baadaye Magufuli akaja kuwazidi kete.
 
Hivi hao wanyonge
Unyonge walipewa na nani waliopo madarakani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…