Kinachowauma mashabiki wa Ronaldo hadi sasa ni kwamba CR7 ana mchango mdogo sana kwenye timu ya Ureno

Kinachowauma mashabiki wa Ronaldo hadi sasa ni kwamba CR7 ana mchango mdogo sana kwenye timu ya Ureno

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925

Kinachowauma mashabiki wa Ronaldo hadi sasa ni Kwamba CR7 ana mchango mdogo sana kwenye timu ya Ureno.​


Ureno inasonga mbele zaidi na inaonekana ni wazi bila hata Ronaldo timu inaweza kufanya vizuri tu,
 
Kwasasa CR7 ndio Ureno, acheze asicheze wakitwaa kikombe Yeye ndie ata paishwa haijalishi mazingira.
 
Kwa sasa Ronaldo anachotaka ni hiyo ndoo Rekodi zikae sawa hayo ya kucheza au kutocheza kwa sasa hayana nafasi kwake
Ikumbukwe ana rekodi pia ya kubeba Euro akiwa benchi na mpaka sasa anatamba nayo sembuse Worldcup
 
Kila lenye mwanzo, halikosi kuwa na mwisho. Utawala wa Ronaldo kwenye kikosi cha Ureno ndiyo unaelekea tamati. Ronaldo, mpira ulikupenda sana! Ila ndiyo hivyo tena umri umekupenda zaidi. Hivyo jitahidi tu kukubali matokeo.

Yaani ni kama tu ulivyo utawala wa ccm katika nchi yetu! Na wenyewe ni suala tu la muda, utahamia Burundi.
 
Yaani ni kama tu ulivyo utawala wa ccm katika nchi yetu! Na wenyewe ni suala tu la muda, utahamia Burundi.
Hapo ndo ulipoharibu mkuu, kwenye soka, ni kweli umri haudanganyi...huko kwa sisiemu, sidhani kama umri unahusika, Makinda, Kinaana etc umri bado?

Suala la muda kwenye mpira ni kweli, suala la muda kwa sisiemu, sio kweli. Wapiga kelele wote sasa wamekuwa waimba pambio baada ya mirija yao kuachwa, muda upi utasaidia hii tabia ya Ulafi na undumilakuwili?
 
Back
Top Bottom