Kinachowaunganisha Zaidi Wanandoa Maisha yao Yote ni Tendo La Ndoa

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
KWA WANANDOA

Vipo Vitu Vingi Sana Vinavyowaunganisha Wanandoa, kama Kazi | Biashara | Watoto | Ndugu | Maisha ya Kiroho

Ila Binafsi, Najua Kinachowaunganisha Zaidi Wanandoa Maisha yao Yote ni TENDO LA NDOA..

🫵Ukibisha, Basi una Mtindio wa Ubongo 😂
Ndio Maana Mwanamke au Mwanaume Akikosa Lile Tendo Wakipelekana Kwa Wazee au Mahakamani wanasema Kwanini Umemnyima mwenzako HAKI YAKE YA NDOA

Kwanini Waliita Haki ya Ndoa ?
Maana yake ni Kitu Ambacho Kila Mtu kwenye Ndoa ( Mwanaume au Mwanamke ) Anastahili Kupata Kwa Wakati Wowote Ule Kulingana na Hali ya Mwenza wake

Mwanandoa Isipite Wiki Moja Hujapata Tendo, tena Hapo Nimesemea Wale ambao wapo Bize na Biashara au Kazi.
Lakini Kikawaida Haipaswi ipite siku 3 Bila Kushiriki Tendo la Ndoa na Mwenza wako..
Tena Wanandoa Wanavyoshiriki Tendo ni kistaarabu sana, Unaenda Raundi zako 2 au 3 zinatosha kwasababu unajua siku mbili mbeleni unaichapa tena. Sio kama wale ambao wanaichapa alafu kuiona tena mwakani 😂 Mtu anaenda Raundi 5 au 6

TENDO LA NDOA LINANOGA ZAIDI KWA WANANDOA ENDAPO
1️⃣Wote Wakiwa na Hamu na Hilo Tendo
• Just imagine unahamu na Mkeo na Yeye anahamu na wewe, Asee hicho kitanda cha Sita kwa Sita Mbona Mtakiona Kidogo..

2️⃣Wote Muwe Mafundi Kitandani, Yaani Wabunifu
• Just Imagine Wewe unazijua Sarakasi zote za Kitandani, na Mkeo anajua Namna ya Kukufanya ustahimili Dakika 90 kwenye kitanda.

3️⃣Wote Muwe Mnajuana Kihisia
• Yaani Wewe Kidume Ujue Nikimshika Hapa Wife hachomoi, na yeye Ajue akikuchika Pale Hufurukuti..

😂Aya, Rudisha Meno Yako Ndani.
Vitu Kama Hivi Utaendelea ku IMAGINE tu na hutoviona kwenye Ndoa yako kwasababu unajifanya Mgumu..
 
Attachments

  • IMG-20260212-WA0020.jpg
    IMG-20260212-WA0020.jpg
    23.2 KB · Views: 55
📌KWA WANANDOA

Tendo la ndoa ni asilimia 5 tu katika ndoa. Wangapi ni wanandoa wanaishi pamoja ila vikojeleo havigusani na bado wanatambulika kama mume na mke. Wangapi wenzi wao wanaenda kusoma nje wanakaa miaka 4 au zaidi wanatumia video call kuwasiliana Lakini bado ni wanandoa. Etc
 
Tendo la ndoa ni asilimia 90 ya ndoa hizo blabla zingine ndiyo zinafuata.
Tendo la ndoa ni asilimia 5 tu katika ndoa. Wangapi ni wanandoa wanaishi pamoja ila vikojeleo havigusani na bado wanatambulika kama mume na mke. Wangapi wenzi wao wanaenda kusoma nje wanakaa miaka 4 au zaidi wanatumia video call kuwasiliana Lakini bado ni wanandoa. Etc
La
 
Inategemea na umri wako
Ukiondoa tendo la ndoa watu wengi hawatakuwa na sababu ya kuoa.
Tendo la ndoa ndiyo sababu ya kwanza ya kuvunja ndoa nyingi sababu zingine ni nyongeza tu
 
Nakuomba uelewe kuwa mwanadamu yeyote hana static malengo. Malengo au matakwa na matumaini hubadilika kutokana na wakati, umri, majukumu etc.

Kabla ya kuoa, mwanaume matarajio yake huwa ni kupata K kila wakati anapoihitaji. Kwa wanawake walio na experience hii huitumia ili kuharakisha ndoa. Utasikia, hii K itakuwa ya kwako kila wakati ukinioa. Ingia ndoani, ndipo utagundua kuna masuala ya kwenda Appollo na chango la Tumbo, nimechoka etc. Wakombozi wanakuwa machangudoa.

Kwa msichana lengo si kukazwa kila wakati bali social security. Kudekezwa, kupetipetiwa etc as time goes, anakuta mnaishi kama madume wawili. Akiwa mbali na wewe, tupo tunaomwita babe, umependeza, wenzetu wanafaidi anaona wanaume si ndiyo hawa. Pia anamkumbuka ex wake alivyokuwa anamdekeza anasahau kuwa ex wake walikuwa hawaishi chini ya paa moja.

Miaka ikipita katika ndoa, unaanza kuona umuhimu wa mwenzio si kwa ajili ya K maana unaweza ukipata popote ila mkeo ni muhimu kwa social security. Ukilala atasikia kama unakoroma, hivyo pengine una tatizo la kiafya. Kuna kitu ningesema hapa ila naogopa naweza kutambulika pamoja na kutumia ID fake.

Majumuisho, ni kuwa ngono katika ndoa ipo overrated sana na vijana. Ndiyo maana nimekuuliza umri wako maana inafikia muda, mwili unauhasi ubongo. Ubongo unatamani uile K ila mwili unakataa kusimamisha dushe!
 
Back
Top Bottom