Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Gusa Achia
Nimezungum,a kitu chenye uhisia sizungumzi mambo ya ndoa iliyovunjika.Nakuomba uelewe kuwa mwanadamu yeyote hana static malengo. Malengo au matakwa na matumaini hubadilika kutokana na wakati, umri, majukumu etc.
Kabla ya kuoa, mwanaume matarajio yake huwa ni kupata K kila wakati anapoihitaji. Kwa wanawake walio na experience hii huitumia ili kuharakisha ndoa. Utasikia, hii K itakuwa ya kwako kila wakati ukinioa. Ingia ndoani, ndipo utagundua kuna masuala ya kwenda Appollo na chango la Tumbo, nimechoka etc. Wakombozi wanakuwa machangudoa.
Kwa msichana lengo si kukazwa kila wakati bali social security. Kudekezwa, kupetipetiwa etc as time goes, anakuta mnaishi kama madume wawili. Akiwa mbali na wewe, tupo tunaomwita babe, umependeza, wenzetu wanafaidi anaona wanaume si ndiyo hawa. Pia anamkumbuka ex wake alivyokuwa anamdekeza anasahau kuwa ex wake walikuwa hawaishi chini ya paa moja.
Miaka ikipita katika ndoa, unaanza kuona umuhimu wa mwenzio si kwa ajili ya K maana unaweza ukipata popote ila mkeo ni muhimu kwa social security. Ukilala atasikia kama unakoroma, hivyo pengine una tatizo la kiafya. Kuna kitu ningesema hapa ila naogopa naweza kutambulika pamoja na kutumia ID fake.
Majumuisho, ni kuwa ngono katika ndoa ipo overrated sana na vijana. Ndiyo maana nimekuuliza umri wako maana inafikia muda, mwili unauhasi ubongo. Ubongo unatamani uile K ila mwili unakataa kusimamisha dushe!
Ni sawa, lkn unaambiwa ni kitu cha kawaida sana.Mkianza majukumu na maisha priorities zinabadirika.Nimezungum,a kitu chenye uhisia sizungumzi mambo ya ndoa iliyovunjika.
Hakuna ndoa bila tendo la ndoa labda watu wameshazeeka sana