Hii ni kweli mwaka wa 7 sasa nikiwa sina ndoa , na msongo wa mawazo , na stress za kuishi kwa mashaka kuwa nitaambukizwa UKIMWI hazipo kabisaKataa ndoa
Ndoa ni utapeli
Ndoa ni biashara
Ndoa ni kausha damu
Ooops
Love is beautiful ❤️ ❤️ ❤️
But lazima Kuna kitu uta miss ila sio ndoaHii ni kweli mwaka wa 7 sasa nikiwa sina ndoa , na msongo wa mawazo , na stress za kuishi kwa mashaka kuwa nitaambukizwa UKIMWI hazipo kabisa
Toka nimejifunza kupika vizuri hakuna mkuuBut lazima Kuna kitu uta miss ila sio ndoa
Loneliness?????Toka nimejifunza kupika vizuri hakuna mkuu
Kabisa.Loneliness?????
Tendo la ndoa ni asilimia 5 tu katika ndoa. Wangapi ni wanandoa wanaishi pamoja ila vikojeleo havigusani na bado wanatambulika kama mume na mke. Wangapi wenzi wao wanaenda kusoma nje wanakaa miaka 4 au zaidi wanatumia video call kuwasiliana Lakini bado ni wanandoa. Etc📌KWA WANANDOA
Vipo Vitu Vingi Sana Vinavyowaunganisha Wanandoa, kama Kazi | Biashara | Watoto | Ndugu | Maisha ya Kiroho
Ila Binafsi, Najua Kinachowaunganisha Zaidi Wanandoa Maisha yao Yote ni TENDO LA NDOA..
🫵Ukibisha, Basi una Mtindio wa Ubongo 😂
Ndio Maana Mwanamke au Mwanaume Akikosa Lile Tendo Wakipelekana Kwa Wazee au Mahakamani wanasema Kwanini Umemnyima mwenzako HAKI YAKE YA NDOA
Kwanini Waliita Haki ya Ndoa ?
Maana yake ni Kitu Ambacho Kila Mtu kwenye Ndoa ( Mwanaume au Mwanamke ) Anastahili Kupata Kwa Wakati Wowote Ule Kulingana na Hali ya Mwenza wake
Mwanandoa Isipite Wiki Moja Hujapata Tendo, tena Hapo Nimesemea Wale ambao wapo Bize na Biashara au Kazi.
Lakini Kikawaida Haipaswi ipite siku 3 Bila Kushiriki Tendo la Ndoa na Mwenza wako..
Tena Wanandoa Wanavyoshiriki Tendo ni kistaarabu sana, Unaenda Raundi zako 2 au 3 zinatosha kwasababu unajua siku mbili mbeleni unaichapa tena. Sio kama wale ambao wanaichapa alafu kuiona tena mwakani 😂 Mtu anaenda Raundi 5 au 6
TENDO LA NDOA LINANOGA ZAIDI KWA WANANDOA ENDAPO
1️⃣Wote Wakiwa na Hamu na Hilo Tendo
• Just imagine unahamu na Mkeo na Yeye anahamu na wewe, Asee hicho kitanda cha Sita kwa Sita Mbona Mtakiona Kidogo..
2️⃣Wote Muwe Mafundi Kitandani, Yaani Wabunifu
• Just Imagine Wewe unazijua Sarakasi zote za Kitandani, na Mkeo anajua Namna ya Kukufanya ustahimili Dakika 90 kwenye kitanda.
3️⃣Wote Muwe Mnajuana Kihisia
• Yaani Wewe Kidume Ujue Nikimshika Hapa Wife hachomoi, na yeye Ajue akikuchika Pale Hufurukuti..
😂Aya, Rudisha Meno Yako Ndani.
Vitu Kama Hivi Utaendelea ku IMAGINE tu na hutoviona kwenye Ndoa yako kwasababu unajifanya Mgumu..
Wee kuweza????
Tendo la ndoa...Wee kuweza????
Una uhakika?????!!Tendo la ndoa...
LaTendo la ndoa ni asilimia 5 tu katika ndoa. Wangapi ni wanandoa wanaishi pamoja ila vikojeleo havigusani na bado wanatambulika kama mume na mke. Wangapi wenzi wao wanaenda kusoma nje wanakaa miaka 4 au zaidi wanatumia video call kuwasiliana Lakini bado ni wanandoa. Etc
Inategemea na umri wakoTendo la ndoa ni asilimia 90 ya ndoa hizo blabla zingine ndiyo zinafuata.
La
Ukiondoa tendo la ndoa watu wengi hawatakuwa na sababu ya kuoa.Inategemea na umri wako
Nakuomba uelewe kuwa mwanadamu yeyote hana static malengo. Malengo au matakwa na matumaini hubadilika kutokana na wakati, umri, majukumu etc.Ukiondoa tendo la ndoa watu wengi hawatakuwa na sababu ya kuoa.
Tendo la ndoa ndiyo sababu ya kwanza ya kuvunja ndoa nyingi sababu zingine ni nyongeza tu