Kinachowaunganisha Zaidi Wanandoa Maisha yao Yote ni Tendo La Ndoa

Nimezungum,a kitu chenye uhisia sizungumzi mambo ya ndoa iliyovunjika.
Hakuna ndoa bila tendo la ndoa labda watu wameshazeeka sana
 
Nimezungum,a kitu chenye uhisia sizungumzi mambo ya ndoa iliyovunjika.
Hakuna ndoa bila tendo la ndoa labda watu wameshazeeka sana
Ni sawa, lkn unaambiwa ni kitu cha kawaida sana.Mkianza majukumu na maisha priorities zinabadirika.
Umeambiwa huko juu, kuna watu wanaenda kusoma 4 yrs hajarudi, na ndoa zipo tu, kuna ambao wako mbalimbali.Naamini kuna wanaume wachache sana wenye bahati ya kupata hata mara 4 kwa mwezi.
Ukiishi na mwanamke ndo unagundua ni viumbe dhaifu sana, hormones, mood swings, bado siku za kutengeneza yai, na yai kutoka empty, bado hajaumwa malaria, hajaenda kutembea kwa familia, hajasafiri kikazi, kugombana kidogo, kukupiga pini makusudi, bado wewe kutokua na mood, life, stress, safari, ukipiga hesabu utagundua una siku 3 za kweli wote wawili kushiriki kwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…