Kinachozeesha mwili ni akili

Kinachozeesha mwili ni akili

Hata kisayansi Ubongo ndio unakufa.
Ubongo ndio unaanza kufa


Ndipo zinapoanza KUFUATA sehemu nyingine.
Ubongo ukikosa kitu inacho kitaka inadegrade mwili, ili wenyewe uwe hai maana inacho kiharibu inauwezo wa kukiunda tena, kifo cha mtu huanzia miguuni cell nyingi hufa mtu hali hai ubongo ndo wa mwisho,na ni baad ya kumstopisha moyo kwa maana ameanza kupumb damu chafu, mtu anaweza kakaa mpaka dak 12 mpak masaa kadhaha ubongo uko hai , mwisho softeware inaon huu mwili ushauwa taka taka inaukataa
 
Na hizi smart gin wanazokunywa vijana miaka mitano au nane ijayo waliozaliwa miaka ya 95 kushuka chini watakuwa wanawaamkia shikamoo vijana waliozaliwa mwaka 2000 kwa jinsi watakavyo wamechafuka mvi vichwani mwao.
 
Kinachotuzeesha ni Gravity, angalia hata ukizeeka sana unapinda mgongo na mwili unavutwa kuelekea ardhini.

Hata Mashavu yanashuka kwa kuvutwa na Gravity kueakea ardhini

Nina imani ukiishi kwenye Zero Gravity hutozeeka labda misuli tu ndio itapoteza Mass na huenda nguvu za kiume zikaongezeka mara dufu kwenye Vacum.
 
Kinachozeesha ni michakato miiiiingi ya kiungo husika, so sehemu itakayoanza kuzeeka ni ile inatumika sana zaidi ya kawaida[kuistressisha];
Kama unaustressisha sana ubongo, ubongo utaanza na mwili utafuata fasta,
Kama unakuuula sana basi tumbo litaanza na mwili utafata fasta,
Kama unakulana sana hivyohivyo sehemu za siri zitaanza na mwili utafuata fasta,
Imagine hata wanaolewa sana ni ini litaanza halafu ndio mwili utafata fasta,
Unakula na kunywa visumusumu basi figo[au ini] litaanza na mwili utafuata fasta,
Watu zamani walikuwa wanapigwa jua sana so ngozi ilianza halafu mwili unafata fastaa.

Hii sio concept mpya, waulize wanaomiliki gari, pikipiki au hata bajaji na baskeli. Kuna kanuni moja kwamba kikiharibika kitu hata kama ni kidoogo wewe fanya service. Usipokafanyia service basi chombo kizima[mwili mzima] utafatia kuharibika na kufa kabisa. Ikiua ka pump ukaacha kuservice inaua hadi injini vivyo hivyo kwa mwili.
 
Mind siku zote inataka kushikilia vitu na kutaka kuvichanganua, hatimaye kufanya judgement kwamba hiki ni kibaya hivyo kutaka kukipinga..ama hiki ni kizuri kutaka kukihold hata pale kinapo ondoka..hapo ndipo maumivu (suffering) kwa maana ya stress, anxiety na depression zinapo anzia..

Formula ni ndogo mnoo,ili uwe imara jitahd kuachilia mambo,achia mambo yaflow kama yalivyo..bila kuwa na attachment wala judgement kwamba hili ni zuri ama baya..siku zote tambua ya kwamba wewe siyo mind wala body.. you're an empty space (Awareness, consciousness) where thoughts, feelings,emotions tend to arise..

Hapo ndipo introduction ya Meditation inapo anzia,ili uweze kuelewa vizuri.
 
Siri ya kutoonekana mzee na pia kuwa na nguvu za kiume ni hii

1: Kula vyakula vya asili na vipikwe kimaskini.

2: Kufanya kazi, kuwa na furaha na kulala angalau saa 8 kwa siku.

3: Kutokutumia kilevi na bidhaa zote za tumbaku
Nguvi za kiume zimeingiaje tena aisee

Hilo la kupika kimaskini lina ukakasi, huenda umeandika hivyo kulingana na jinsi unavyoamini wewe, fafanua kidogo!!

Nahitimisha kwa kusema kuishi muda mrefu ni jambo la vinasaba(kurithi) kama ukoo wenu ni watu wa kukata moto mapema basi hilo si la kupinga mtakata moto mapema tu.
Babu yangu alianza kunywa pombe ujanani mpaka anafariki akiwa na miaka 70+. Mtoto wake mkubwa anakimbiza 60+ na gambe anapiga kama kawa.

Fanya kwa kiasi, kula kwa kiasi, kunywa kwa kiasi sio usile/usinywe kabisa. Utajibana afu unafika 35 unakata moto kwa malaria.

Fanya kwa kiasi uifurahishe nafsi yako(kama ni kitu unapenda). Utaishi muda mrefu na kwa furaha kuliko kutamani na usile/kunywa na kutengeneza masononeko moyoni.
 
Kinachotuzeesha ni Gravity, angalia hata ukizeeka sana unapinda mgongo na mwili unavutwa kuelekea ardhini.

Hata Mashavu yanashuka kwa kuvutwa na Gravity kueakea ardhini

Nina imani ukiishi kwenye Zero Gravity hutozeeka labda misuli tu ndio itapoteza Mass na huenda nguvu za kiume zikaongezeka mara dufu kwenye Vacum.
Duh!.
 
Siri ya kutoonekana mzee na pia kuwa na nguvu za kiume ni hii

1: Kula vyakula vya asili na vipikwe kimaskini.

2: Kufanya kazi, kuwa na furaha na kulala angalau saa 8 kwa siku.

3: Kutokutumia kilevi na bidhaa zote za tumbaku
ongezea kwenye list yako kufanya mazoezi, kuepuka stress, pia kutokuchomwa na jua.. jua linazeesha ngozi
 
Yaani akili ndo ubongo wenyewe sasa unafanya kazi ,usiombe kuchosha akili yako kwa kazi unaweza kuumwa mwili mzima .

Bado ukiwa na stress akili Inakuwa haifanyi kazi acha tu ,unaanza kupoteza Nuru usoni mara makunyanzi kama mzee, mwisho wa siku akili haiwazi mambo ya maana inawaza mambo ya masononeko mpaka unakufa .

Hata tunapofany kazi tusiwe ile serious sana akili inahitaji kupumzika hata kufurahi, kazini kama kutatua changamoto za wateja na risky za hapa na pale haziishi ,mara kufokewa mara kutia hasara ..Unaweza kosea kazi ukaharibu na kuleta hasara so unakuwa kiakili unakuwa na mawazo fulani.


Ushauri hata kama kazi yako una unapata pesa kidogo jifundishe kuspend ,kama sio mleni nenda hata tour moja kila likizo jichange kidogo, weekend kula Bata utulize akili.
Tatizo ukiwa na Hela ya mawazo unaspend huku unawaza kesho unaamkaje. Na ikitokea umeamka huna salio mawazo yazidi mara dufu, hapo ndio Huwa Kuna kuzeeka Kwa spidi ya 1000km/ s.
 
Kadiri maendeleo ya kisayansi yanavyoshika kasi itafikia muda sababu za kifo zitakua ni ajali tu na sio magonjwa wala uzee, takriban magonjwa mengi yanajulikana sababu zake na pia sayansi inajua sababu za uzee, ni swala la muda tu watu wataweza kuishi hadi miaka 500 ni kadiri tu utavyofanikiwa kuzikwepa ajali.
 
Kinachotuzeesha ni Gravity, angalia hata ukizeeka sana unapinda mgongo na mwili unavutwa kuelekea ardhini.

Hata Mashavu yanashuka kwa kuvutwa na Gravity kueakea ardhini

Nina imani ukiishi kwenye Zero Gravity hutozeeka labda misuli tu ndio itapoteza Mass na huenda nguvu za kiume zikaongezeka mara dufu kwenye Vacum.
Kuna point hapa ila nimecheka sana hapo mwishoni inaonekana balaa la vacuum ni zito [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom