Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

#hapakazitu. tarehe 26/10/2015 alfajiri kabla ya jogoo hajawika watu watasaga meno kwa kutoamini kilichotokea tanzania!

kwenye tarehe umekosea kidogo, ni asubuhi na mapema ya tarehe 25/10/2015 mheshimiwa edward ngoyai lowassa atakuwa ameshatangazwa mshindi, maana kura atakazozipata kwa muda wa lisaa limoja tu baada ya zoezi kuanza hamna mgombea mwingine atayefikia robo yake. Lowasssssssssssssa
 
Kwa miaka miwili Kinana alizurura akitafuna kodi zetu

Ni kipya kipi atawaeleza Watanzania safari hii?

Kila alikopita aliilaumu serikali ya CCM kwa kushindwa kazi

Je Magufuli hakuwepo kwenye serikali hiyo kama Waziri?

Sasa leo anapopanga kurudi kwa wananchi wale wale

Huku ni kukosa aibu, haya na dalili ya kuchanganyikiwa.
 
Ni dalili za anguko la ufalme wa shetani hapo Octoba 25

Dalili zote zinaonyesha. Kila wanachofanya hakilipi. Sasa utakujaje tena na timu ya kuandaa ilani mpya wakati hiyo ya uchaguzi wala hujainadi na badala yake umekuwa unatukana. UKAWA wakiweza kulinda kura wanashinda kwa kishindo kikubwa.
 
rais magufuli hataki kupoteza mda,,NI KAZI TU..
 
Yeye anagombea urais. Nia ni kushinda. Hivyo matayarisho anayoyafanya sii ya ajabu.
 

Kuyatekeleza haya kwa mtazamo wangu ni ndoto za mchana.
 

Hali ni ngumu, lowassa si mchezo. Ukawa hatari.

#mabadiliko
 


Lengo lao ni kuwalaghai wananchi kwa ghiliba ziso kifani na mwisho
 
afadhari mtu anayeweza kufikiria na kutekeleza kwa vitendo mapema
HAPA KAZI TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…