Mnamshangaa Magufuri wakati yeye anaelewa alikuwa anafanya kazi na si maigizo kama nyie ..kapiga kazi na kazi imeisha mtaani sahivi kaanza na kupanga kikosi tayari, nyie endeleeni kutengeneza maigizo huko serengeti
Huyu ndo Magufuri, hapa ni kazi kwa kazi ..Hapa ni kazi tu.
Nilishakwambia unatuaibisha wahayaKamwage damu ya familia yako
Funny enough hata huku Chato Magufuli hakubaliki kama Lowassa
Nilishakwambia unatuaibisha wahaya
hatuna njaa za kihivyo?
kama maisha yamekushinda omba nauli rudi kwenu.
vyama vya kusaidia watu kama wewe vipo au niPM
nikupe nauli.
Hata hivyo hayakuwa malengo yangu kukupiga jiwe,Kamwage damu ya familia yako
Mkuu umeahidiwa ukuu wa wilaya nini?Nshomile katika ubora wake. 😀
Mkuu umeahidiwa ukuu wa wilaya nini?
Andika maumivu,maana kwenye ilani ya CDM hakuna kitu kama hicho
hizi ndizo fedha zitakazosaidia watoto wasome bure mpaka chuo kikuu
tena elimu bora,nakushauri anza kujituma.Vya kunyonga mwisho tarehe 25.10.2015
Ht mkiongeza namba ya mikutano,ht mkiandika uwongo,ht mkiongeza chumvi mpk na sukari lkn ccm haishindi mwaka huuu na rais ni lowasa ht viongoz wa juu wa ccm wanalijua hilo vzr sn