Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

MUHIMU: Mshahara wa Raisi na mawaziri uwekwe hadharani ili tujue tunawalipa sh.ngapi kwa mwezi.
 
Bad timing. Zimebaki siku 10 Magufuli anataka kurudia kampeni kule kote alikopita. Watanzania walisha msahau kabisa.... hahahaa. Na akirudia kama mtoa Topic alivyo andika hapa lazima atakutana na zomea zomea kwani watanzania walio wengi walishaamua kwamba " Lowassa atosha ".
 
Tupo vizuri... Mnajua mambo tuliyoyafanya katika majimbo 208!!! CCM is back again where it belongs!! Thanks Comrade MAGUFULI for making us laughing again!!!

Kwa sanduku la kura Hapana. Labda ki vingine. ccm wapumzike. Inatosha.
 
Wahenga walinena mfa maji haiishi/haachi kutapatapa.

Juzi katika jukwaa la kampeni ndg. A. Kinana aliponda sana tabia ya kuongoza nchi kwa vikao mara sijui jopo. Leo mwaunda majopo mengine?

Hakika pumzi imekata.
 
Dah, maccm vituko haviishi. Ina maana Kikwete alikuwa hajui hata kero za wananchi, alikuwa hajui maeneo yatakayoongeza mapato haraka!!! Naona mmechanganyikiwa, mgombea wenu Pombe amekuwa kama headless chicken
 
Unakusanyaje maoni two weeks before watu kupiga kura?

Je ilani imetokana na inputs zipi endapo ni sasa ndio mmeanza kukusanya maoni?
 
Sijaona jinsi ya kushughulikia ufisadi,mikataba mibovu ya uwekezaji,viwanda,ujenzi wa reli na bandari.Ukawanaji ulio sawa wa keki ya taifa.Mwisho ni maisha yale yale.Nauelewa sana ule wimbo wa ccm ni ile ile hivyo haina jipya.
 
LOWASSA anatisha mnatumia jina lake kumnadi mgombea wenu?
 
Kuna taarifa zimechapishwa na magazeti kuwa kuna mgombea urais ameunda jopo la wataalamu wa kumsaidia.Jopo hilo mbona lipo tangu 2013?Kuna taasisi inaitwa Presidential Bereau,taasisi hii ina wataalamu wengi wanaomshauri Rais.Sasa hilo jopo lingine ni la nini kama sio propaganda?
 
Kuna taarifa zimechapishwa na magazeti kuwa kuna mgombea urais ameunda jopo la wataalamu wa kumsaidia.Jopo hilo mbona lipo tangu 2013?Kuna taasisi inaitwa Presidential Bereau,taasisi hii ina wataalamu wengi wanaomshauri Rais.Sasa hilo jopo lingine ni la nini kama sio propaganda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…