Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

Habari kutoka Lumumba zinasema Maraisi Wastaafu wameamua kupanda Majukwaani Kumsaidia Magufuli.Tunawasihi sana Wasitumie lugha za MATUSI VITISHO Na UONGO Kwani wao kama Viongozi hawastahili kufanya hivyo Na yule ALIYETUTUKANA ETI WATANZANIA WATAKA MABADILIKO NI WAPUMBAVU Na MALOFA ASIRUDIE TENA.
 
Huyo mwizi wa mitihani na mabandiko yako anamuosha mbwa makalio. CCM ni wafia ufisadi watakufa na ufisadi period
 
Kumbe ndio mnaanza kujadili namna ya kutawala! Hiyo ilani mnayonadi ni ya nini? Hii ni gia ya kitapeli na watanzania hatutawaelewa! Lowassa na UKAWA yupo mbele yenu. Akiingia Ikulu ni utekelezaji tu na sio tena kuangalia namna!
 
Unadanganywa kizembe sana ! Kwani wanaopanga mipango ya maendeleo miaka yote ni akina nani ?
Mkuu hawa ni matapeli wa kutupwa. Miaka 10 ya Kikwete yote alishindwa kuangalia haya mambo leo wanakumbuka shuka wakati kumekecha
 
Nafikiri kwa upuuzi mliofanya ata mmngemketa baba wa taifa kwanza angeamia kwenye kundi la mabadiliko
 
Hii ya kuongeza nguvu katika timu ya mapambano dakika za lala salama sio dalili njema kwa CCM. Kwa watu walio na ufahamu na institutional theory, hii inatoa tafsiri kuwa tathmini ya ndani ya CCM imefanyika na ikaonekana hali sio shwari hivyo bila reinforcement taasisi inazama. Nendeni mbele, rudi nyuma huu ndio ukweli.
 



Kajipange upya... Haitakaa itokee ndani ya CCM..... Lazima wakane nafsi zao kwanza.... Nikiangalia hao akina mwakyembe sidhani.... Unakumbuka inshu ya kununua mitambo ya kufua umeme walivyomwandama zitto...... Leo hiyo hiyo mitambo kauziwa mwingine na anatuuzia umeme kwa gharama ya Juu.... Hivyo kiufupi hatuhitaji mtu mpya ama mwadilifu ndani ya CCM tunahitaji mfumo ufumuliwe kabisa kwa kua wameshindwa mbadala wetu ni LOWASSA ndani ya UKAWA basiiiiiiii...... CCM wamekataliwa.
 
Bora wajionee wenyewe jinsi wananchi walivyowachoka na hii ndio round ya mwisho na yamasikitiko kwa ccm
 
Tunataka Katiba Mpya kwanza kutoka kwenye Rasimu ya Warioba iliyojaa mapendekezo ya Wananchi, acheni kutuhadaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…