Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadanganywa kizembe sana ! Kwani wanaopanga mipango ya maendeleo miaka yote ni akina nani ?
Hakuna madiliko hapo lowassa anataka ikulu tu, amechemkaa!!
kwa kweli kwa upande wa vikosi kazi na organization ccm wako vizuri kuliko UKAWA.nawashauri ukawa ndani ya hizi wiki mbili zilizobaki waingize field vikosi vitatu kimoja kiongozwe na LEMA kingine kiongozwe na mbowe au lissu na cha tatu kiongozwe na mdee. wakichelewa wameliwa. hongereni sana ccm...